Urusi yakaribia kuuteka mji wa Bakhmut katika mapambano makali na Ukraine

Mwaka mzima Russia bado wako vitani na bado mwisho haujulikani na walisema ni siku tatu tu.

Wakipigana kwa miaka miwili zaidi si Russia itarudi kwenye Stone Age, huyo dikteta wao halioni hilo.
 
Mwaka mzima Russia bado wako vitani na bado mwisho haujulikani na walisema ni siku tatu tu.

Wakipigana kwa miaka miwili zaidi si Russia itarudi kwenye Stone Age, huyo dikteta wao halioni hilo.
USA + baadhi ya European allies walipigana miaka mingapi na Iraqi 1991? Tena Iraq ikiwa duni na haina msaada wowote. Kama ulikuwa hujazaliwa kaa kwa kutulia
 
Hivi kumbe tangu december mwishoni walivyosema wanaikamata mwezi January mwanzoni kumbe hadi sasa bado?
 
Battle inaendelea ukraine wanatabia ya kuwaachia mamluki aingie halafu wakafyeka wote, lakini fikiria jambo dogo na ulete majibu hapa, Russia walipovamia Ukraine tunaambiwa walidhibiti maeneo ya ardhi ya Ukraine sawa na eneo la nchi ya Newzerland kwa ukubwa lakini jiulize mara mbili mbili kwanini sasa Urusi imebakisha pembeni pembeni huko??
 
Hamuachagi kujipaga moyo wenzako wanalalamika hawajaachiwa upenyo wa kutoroka wamezingirwa kila upande.

Madai yao ni kwamba eti maelfu ya raia wanashindwa kupewa misaada ya kiutu kutokana nankuzingirwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… halafu wewe unakuja.na ngonjera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…