Urusi yakaribia kuuteka mji wa Bakhmut katika mapambano makali na Ukraine

Urusi yakaribia kuuteka mji wa Bakhmut katika mapambano makali na Ukraine

Hamuachagi kujipaga moyo wenzako wanalalamika hawajaachiwa upenyo wa kutoroka wamezingirwa kila upande.

Madai yao ni kwamba eti maelfu ya raia wanashindwa kupewa misaada ya kiutu kutokana nankuzingirwa 😅😅😅😅 halafu wewe unakuja.na ngonjera
Ukraine sasa wapo kwenye kipindi cha kupokea silaha nzito toka US na mataifa mengine ya magharibi ni suala la muda tu kidogo, vita hii sio hivyo unavyowaza wewe na hiyo Bakhmut ni kijiji kidogo sana laba kama hapo kwenu
 
Walikuwa wapi muda wote kwani HIMARS umezisikia tena 😅😅😅 zilibadili chochote? Zinasubiriwa Leopold 2 na Abraham ziingie uwanja wa vita.

Vipi drone za Uturuki zimepotelea wapi?

Armored vehicles zilizotumwa kwa mamia Ukraine zimefanya nini?🤣🤣🤣
 
HIMARS bado zipo sokoni na ndio silaha zinazomtesa russia hadi muda huu naandika, urusi hana silaha yake hata moja iliyokuwa imedumu japo kwa wiki mbili, drone made in Iran sasa pia wameshindwa zinadondoshwa 24hrs

Ni muda mdogo tu putin ataanza kupasha moto nuclear kwa kishindo kitakachomtokezea
Opera Snapshot_2023-03-01_120710_www.facebook.com.png
 
HIMARS bado zipo sokoni na ndio silaha zinazomtesa russia hadi muda huu naandika, urusi hana silaha yake hata moja iliyokuwa imedumu japo kwa wiki mbili, drone made in Iran sasa pia wameshindwa zinadondoshwa 24hrs

Ni muda mdogo tu putin ataanza kupasha moto nuclear kwa kishindo kitakachomtokezea
View attachment 2533660
😅😅😅😅 hio ni picha ya HIMARS yaani hakobka singles launcher nako unakazungumzia.

Attachments

  • Screenshot_20230301-121615_Chrome.jpg
    Screenshot_20230301-121615_Chrome.jpg
    322.1 KB · Views: 5
Walikuwa wapi muda wote kwani HIMARS umezisikia tena 😅😅😅 zilibadili chochote? Zinasubiriwa Leopold 2 na Abraham ziingie uwanja wa vita.

Vipi drone za Uturuki zimepotelea wapi?

Armored vehicles zilizotumwa kwa mamia Ukraine zimefanya nini?🤣🤣🤣
Counter offensive ya Ukraine itajibu maswali yote.
 
Counter offensive ya Ukraine itajibu maswali yote.
Vikosi vya Urusi vilifanya mashambulio makali dhidi ya Bakhmut siku ya Jumatano, vikijaribu kuuzingira mji mdogo wa mashariki mwa Ukraine na kudai tuzo yao kuu ya kwanza kwa zaidi ya nusu mwaka baada ya mapigano ya umwagaji damu zaidi katika vita hivyo.
Shirika la habari la Reuters liliweza kufika Bakhmut kutoka magharibi siku ya Jumatatu, ushahidi kwamba mji huo bado haujazingirwa licha ya vikosi vya Urusi kushinikiza kutoka kaskazini na kusini kufunga njia za mwisho zilizosalia.
Moto na moshi ulipanda angani kutoka kwa majengo yanayowaka. Milio ya risasi na milipuko ya mara kwa mara ilisikika angani. Magari ya kivita ya Ukraine yalinguruma barabarani, huku mbwa waliopotea wakitangatanga katikati ya matope na vifusi.
Maelfu ya wakaazi wanasalia ndani ya jiji lililoharibiwa kutoka kwa idadi ya watu wa kabla ya vita ya karibu 70,000.

"Inatisha kweli," alisema mwanamume wa makamo akiwa amevalia koti na kofia ya manyoya kwenye ngazi za jengo lake la ghorofa.
Kulingana na amri ya jeshi la Ukraine, hali karibu na Bakhmut, ambayo wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakijaribu kuiteka katika miezi iliyopita, inazidi kuwa ya wasiwasi. Warusi hawaachi majaribio yao ya kuuzingira mji huo, licha ya hasara kubwa za kibinadamu, mkuu wa vikosi vya ardhini vya Ukraine, Kanali-Jenerali Alexander Syrsky, alisema Jumanne.
Kwa mujibu wake, vikosi vya kushambulia zaidi vya Wagner vinapigana kwenye mstari wa mbele, kujaribu kuvunja ulinzi wa askari wa Kiukreni na kuzunguka mji.
Siku ya Jumanne usiku, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky pia alikiri hali ngumu katika mwelekeo wa Bakhmut.
''Adui anaharibu kila kitu ambacho kinaweza kutumika kulinda nafasi zetu - ili kupata nafasi na kutoa ulinzi "kutoka kwa Vladimir Zelensky

Adui anaharibu kila kitu ambacho kinaweza kutumika kulinda nafasi zetu - kupata nafasi na kutoa ulinzi ".
"Siwezi kusonga miguu yangu - inasogea kwa shida - kutokana na mkazo wa hali," alisema. "Maadamu nyumba yangu iko sawa na sijaumia, nitakaa hapa."

Katika mji wa Chasiv Yar upande wa magharibi, duka la mboga lilikuwa linawaka.
"Hatutaacha Bakhmut. Tutashikilia hilo hadi mwisho kabisa," daktari wa jeshi mwenye umri wa miaka 25 alielekea mbele aliambia Reuters. "Utukufu kwa Ukraine, kifo kwa maadui."
 
Hadi sasa bado Bakhmut haijadondoka, miezi 9 sasa. Cleaning ya huo mji itachukua miaka mingi sana
 
USA + baadhi ya European allies walipigana miaka mingapi na Iraqi 1991? Tena Iraq ikiwa duni na haina msaada wowote. Kama ulikuwa hujazaliwa kaa kwa kutulia
Wala hawakuwa wakipigana walikuwa wamekaa tu labda wewe ndio ulikuwa hujazaliwa.
 
Wala hawakuwa wakipigana walikuwa wamekaa tu labda wewe ndio ulikuwa hujazaliwa.
So walikua wanaangaliana?🤣🤣🤣🤣 unajua by that time Iraq alikuwa katoka kupigana na Iran, kavae nepi ulale
 
Ngoja wapitiwe na technology ya Elon Musk na kuangamizwa Hawa majambazi wa Wagner Russian
Vita ni mbinu ktk Medani!
Wamemchosha mrusi kwa kuwaua askari wake kwa wingi na kummalizia silaha!
 
Wataalamu wa vita, wachambuzi, washabiki, wenye mahaba yao, wazee wa Bakimut...........
 
Back
Top Bottom