Urusi yalaani shambulizi la Israel ubalozi wa Iran nchini Syria na kumuua jenerali wa Iran

Israel anaogopwa kama ukoma urusi ni weupe sana ka ukraine pamoja na kukavamia gafla kanawatesa mpaka leo
Endelea kukaza fuvu mzee baba na story zako za daudi na Goliath....


Biblia inawadanganya sana wajichanganye!


Mpk leo wamewashindwa Hamas wataweza URUSI inayoogopwa na USA ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Heheeee... ila Mrusi Ni mshenzi sanaa kwa waarabu. Kama waarabu wapo timamu inabidi wampuuze maraa mojaa, maana kumfwata Mrusi hskujawahi wapa matokeo chanyaa.

Niwakumbushee tuu Mrusi ndiye aliyetoa taarifa za uwongo kwa Misri kwamba Israel anataka kuivamia kitu kilichomfanya Misri kumvaa Israel pupa pupa kwenye six day war
 
Endelea kukaza fuvu mzee baba na story zako za daudi na Goliath....


Biblia inawadanganya sana wajichanganye!


Mpk leo wamewashindwa Hamas wataweza URUSI inayoogopwa na USA ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hamas wepi hawa wanaojificha kama panya buku
 
Sijaona statement yeyote ya kulaani
 
Sijaona statement yeyote ya kulaani

Mod walibadilisha kichwa cha uzi wangu, walichomekea hilo neno kulaani, tena naona walibadilisha maneno ya utangulizi..... Urusi ni mchumba tu kama alivyo Iran
 
Yaani ndio kitu najiuliza, apigwe Iran ila anayelia sana ni Urusi....
Hapo hilo swali mkuu umechemka , huyu ni mshirika wa silaha anazotumia ukrain pia lazima awe na influence
 
Ni mapema mno kusema Iran hawatafanya lolote,tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ