Urusi yaonya kuhusu uanachama wa Finland katika NATO

Urusi yaonya kuhusu uanachama wa Finland katika NATO

Ninaona hapa kitakachofuata Urusi kwenda kuweka silaha zake za kimkakati Cuba, Venezuela na baadhi ya nchi mashariki ya kati. Hapo itakuwa ukimwaga mboga, sisi tunamwaga ndodndo
Mhhh. Hapa mm ninaiona Urusi ikimeguka vipande-vipande (kusambaratika)na kuzaliwa kwa vimataifa /nchi huru ndogo ndogo nyingi zinazojitegemea na kutoweka kwa Taifa liitwalo Rusia kwenye ramani ya dunia. Hili linatokana na Rusia kuwa kwenye vita inayoendelea na kutokana na vita hiyo:
1. Rusia imesha nyong'onyeshwa (crippled), na tena nchi zilizokuwa zinaiogopa Rusia sasa wameshagundua kumbe Rusia sio supa pawa kama ilivyokuwa inadhaniwa au kuaminika
2. Silaha zake za kimkakati kama ataenda kuweka popote zitaweza kushambuliwa kwa kisingizio cha vita inayoendelea sasa baina yake na Ukraine zikiwa njiani au hata zikiwa installed kwenye vituo
3. Huko atakakotaka kuziweka kunaweza kuwa na vikwazo kama yeye Mrusi alivyofanya kwa Ukraine na anavyotishia sasa kwa hatua iliyochukuliwa na Finland kujiunga NATO.
4. Mrusi hana kauli. Amekuwa akitoa kauli za vitisho na maneno mengi lakini utekelezaji wake sifuri(0).
 
BRICS ni muungano wa kibiashara
kwan hujui kuwa wapo kimkakati ? unahisi NATO iliundwa kuivamia Urusi , huo ni umoja wa kujihami , kama Urusi alivyoonesha kutowaheshimu mataifa madogo kama Georgia , Moldova na kaendelea kwa Ukraine , kwann Finland asijihami ?nyiny mlitawaliwa sababu ya akili zilizolala pwani inavamiwa makabila ya ndani badala yaungane kama makabila ya ethiopia , nyiny mnasema ugomvi wao huo sisi hautuhusu , mtu timamu lazima uone kesho
 
nilichojifunza na nimefanyia utafiti wanoiunga wote mkono marekani ni mashoga na wente chembechembe za ushoga sababu kule sheria za kupakuana ruksa hivyo wanajificha katika kichaka hicho, mfuate inbox shabiki yeyote wa marekani anakubali kutinduliwa vizuri tu
ushoga na mada iliyopo mezan mbona havina uhusiano? upo timamu kwel ?
 
nilichojifunza na nimefanyia utafiti wanoiunga wote mkono marekani ni mashoga na wente chembechembe za ushoga sababu kule sheria za kupakuana ruksa hivyo wanajificha katika kichaka hicho, mfuate inbox shabiki yeyote wa marekani anakubali kutinduliwa vizuri tu
Wewe mwenyewe "Askari wa Zenji".
 
Hivi bado yupo mwenye akili timu ambaye bado anawaamini Russia.
.
Screenshot_20230315-235225.jpg
 
Back
Top Bottom