Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Dmitry Peskov mbona amejieleza vizuri sana - now the ball is in Finlands court ilifanya ujinga wa kukubali kusimika weka short Range thermonuclear missiles na RADAR za kuongozea missiles za Merikani nchini Finland kwalengo la kuja kutumika hapo baadae kuishambulia Urusi - Finland ikifanya ujinga huo na kukataa kuziondoa basi Finland ikie ikijua kwamba itashamubuliwa kwa nguvu zote na Urusi na ikawa chanzo cha WW3 Duniani.Urusi imeutaja uanachama wa Finland katika jumuiya ya Kujihami ya NATO kuwa ni uvamizi dhidi ya usalama wake na kusema itachukua hatua za kiufundi na kimkakatiView attachment 2576402
Urusi imeutaja uanachama wa Finland katika jumuiya ya NATO kuwa ni uvamizi dhidi ya usalama wake na kusema itachukua hatua. Msemaji wa ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amewaambia waandishi habari mjini Moscow kwamba hatua hii ni shambulizi dhidi ya masilahi ya Urusi na wanalazimika kuchukua hatua za kiufundi na kimkakati bila kutoa maelezo zaidi. Finland imejiunga na NATO leo na kuwa mwanachama wa 31 wa muungano huo wa kijeshi.
Katika taarifa tofauti wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema kwa kujiunga na NATO, Finland imejipoteza yenyewe na uhuru wowote ilionao.
Wizara hiyo pia imesema hatua zaidi za Urusi zitategemea kanuni za NATO kuijumuisha Finland ikiwa ni pamoja na upelekaji wa miundombinu ya kijeshi na mifumo ya silaza za mashambulizi katika himaya yake.
Mrusi hawezi kuvumilia taifa ambalo ndilo lenye mpaka mrefu sana na Urusi kutumiwa na US/NATO, Finland na NATO wakipuuza concern za Urusi kuhusu usalama wa Taifa lao - Russia itawamaliza wote, yeye alishajipanga kwa miaka mingi jinsi ya ku-deal na such eventuality - mfano kupeleka missiles nchini Cuba, Nicaragua na Venezuela na baadhi ya visiwa vya Caribbean vitakavyo kubari ku-host missiles za Urusi, kuweka submarines drones eas and west coasts za USA including Gulf of Mexico - Warusi wana option nyingi za ku-counter threat ya Merikani kwa usalama wa Taifa na imavyo elekea Biden yupo under pressure ya wapenda vita ndani ya Ikulu ya Merikani na wasjauri wake lumlazimisha Biden aidhinishe WW3 kabla ya term yake in Office haijafikia tamati, ndio maana wanampiga vita saana Donald Trump hasirudi madarakani kwa kuwa wanajua hawezi kuruhusu masuala ya vita.