Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Hivi vitu kama huvielewi ni bora ufanye tafiti! Unakumbuka USSR ilifika mpaka Ujeruman? Bas kabla hapo Ujeruman iliienda kuivamia USSR, USSR ikafanya Counter ikaenda kufika mpaka Ujeruman Mashariki, baada ya kuanguka kwa USSR walikubaliana hawa West na Russia kuwa Nato isijitanue kwenda Mashariki na Russia isijatanue kuifata Ulaya! Sababu kuu zilikuwa sababu za kiusalama tu kila mtu akitaka kulinda upande wake na kitendo cha kumsogelea mwenzio anakuwa hakuamini.Kwa hiyo siku hizi nchi yoyote ikitaka kujiunga na jumuiya yoyote lazima iombe kibali toka Moscow...!!!
Itachukua muda mrefu sana kwa hawa warussia kuja kuwa na akili kwani kutawaliwa na madikteta ni shida sana, akili zenu zote lazima msalimishe kwake.
Wataalamu wa Masuala ya Kivita huko nyuma waliwah kuwashari Marekan kuwa ili uweze kumdhibiti Urusi basi usiruhusu akusogelee ila wewe ndiyo umsogelee ikibidi ata kuwanunua majiran zake, tishio kuu la kusogea katika mpaka wa Russia kwa Nato ni Marekani kufanya ujasusi dhidi ya Urusi na kuipasua tena, kiukweli Marekan anaona hajamaliza kwa Urusi anataka aendelee kuigawa zitoke nchi nyingine pale katikati ndipo ataweza kuidhoofisha Urusi.
1962 kulikuwa na kitu kinaitwa Cuba Crisis- hapo Marekani alipeleka siraha za maangamizi pale Uturuki target ikiwa amchape USSR, USSR ilishtuka naye akaenda kuweka nyuklia Cuba, kitu ambacho Marekani hakukipenda na akatia kwenda kuivamia Cuba kijeshi, hakupenea cos alijua USSR ataitumia Cuba kumpigia, kwaiyo unachopaswa kuelewa ni kuwa Marekani hataki na hatamani ata sikumoja Russia ajitanue kuelekea kwake cos ni tishio kwa usalama wake. Ni hivohivo kwa Urusi haoni kama ni salama kwake NATO kuisogelea.
Hapa majuzi umesikia Drone ya Marekan kuangushwa kule Black Sea, drone ya marekani black sea ilikuwa inaifanyia ujasusi Urusi, na ile drone ilitokea Itary ambae ni member wa NATO cos Marekani anaitumia NATO kama kichaka dhidi ya wale ambao anaona ni tishio kwake.