Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
Urusi Baada Ya Mifumo yake Ya ulinzi wa Anga Chapa S-300&400 Kushindwa kufua dafu mbele ya makombora ya ballistic ya Kimarekani Chapa ATACMS,yanatumika na vikosi vya Ukraine, imeamua kupeleka Mfumo wao wa Kisasa na ghali zaidi huko Crimea.
Mytake :Tusubiri tuone matokeo ya hayo machumachuma Mapya S-500 nayo kama yatafua dafu mbele ya ATACMS missiles🤔
.......
 
Huo mfumo ni noma sana ...unatungua Hadi Mbu
Mpaka uone Urusi kafikia hatua ya mwisho kulinda Anga ujue hali si hali. Baada ya ATACMS missiles huenda marekani aka Deploy silaha kali zaidi kumaliza kitisho cha S-500.ikiwa ATACMS hazitafua dafu.
Sasa hivi Ukraine inasafisha njia kwa Ndege za kivita Chapa F-16 kuanza kupiga kazi, kwa kuharibu mifumo ya anga ya Urusi🤔
 
Na mrusi ata deploy silaha kali zaidi......mwanzoni aliweka vitu vinavyoendana na silaha za ukraine, sio kwamba na yeye hana vitu vya hatari
 
The current situation in the Russian army is SERIOUS and from the data released, they have started negotiations with African and Latin American countries about purchasing Russian and Soviet equipment, because they have nothing to fight with. The Russians recently sent a diplomatic mission to Sudan to negotiate the purchase of Soviet tanks. What Russia manufactures is not enough to replace what is burned and damaged on the front line.- BLOOMBERG
 
S-500 ndio latest radar ya Urusi na Sukho SU-57 ndio ndege ya Kisasa Kabisa Na vyote vipo kwenye uwanja wa mapambano.Kutoka hapo Urusi labda itumie nyuklia 🤔
 
S400 haijashindwa hata,Bali Urusi wameamua kuongeza nguvu baada ya NATO kuingia kazini kwa kujidai kumpa ruhusa Ukraine kupiga ndani ya Urusi wakati wanaopiga ni wao.Urusi alipeleka s400 kulingana na uwezo wa Ukraine kwa wakati huo.
Lakini baada ya NATO kujiingiza na kuamua kupiga ndani ya Urusi nao Urusi Sasa wameamua kupeleka silaha itakayowamudu NATO.kumbuka Ukraine ilishatolewa mashindanoni.
Sasa ni baina ya Urusi na NATO.
Hata hivyo silaha za Ukraine hazikuweza kupiga daraja la crimea.
 
S-500 ndio latest radar ya Urusi na Sukho SU-57 ndio ndege ya Kisasa Kabisa Na vyote vipo kwenye uwanja wa mapambano.Kutoka hapo Urusi labda itumie nyuklia 🤔
Mbona iron dome ya muisrael makombora yakutengeneza magetoni ya hezbolah yanapenyaga tu,,, hizo ngoma adui yako akishasoma algorithm yake ni aidha u update software zake au ubadili mfumo kabisa,, na wanaopigana wote ni binadamu wenye ufahamu jinsi hivyo vitu vinavyofanya kazi.......bora s400 zinapita hizo atacms,,,ile ya muisrael yalikua yanapenya makombora home made,,,na kule saudi Arabia zile patriot za mmarekani zilikua zinazidiwa na makombora ya wahouthi hadi wanapiga visima vya mafuta
 
S-500 ndio latest radar ya Urusi na Sukho SU-57 ndio ndege ya Kisasa Kabisa Na vyote vipo kwenye uwanja wa mapambano.Kutoka hapo Urusi labda itumie nyuklia [emoji848]
Kumbe we ni mchanga kwenye haya mambo ...... Russia ndio super power wa mambo ya siraha ... plus na (AD) Air defenses
 
Mpaka uone Urusi kafikia hatua ya mwisho kulinda Anga ujue hali si hali. Baada ya ATACMS missiles huenda marekani aka Deploy silaha kali zaidi kumaliza kitisho cha S-500.ikiwa ATACMS hazitafua dafu.
Sasa hivi Ukraine inasafisha njia kwa Ndege za kivita Chapa F-16 kuanza kupiga kazi, kwa kuharibu mifumo ya anga ya Urusi🤔
Kwani F-16 zimeanza kutumika na majeshi ya Ukraine dhidi ya Russia?
 
The current situation in the Russian army is SERIOUS and from the data released, they have started negotiations with African and Latin American countries about purchasing Russian and Soviet equipment, because they have nothing to fight with. The Russians recently sent a diplomatic mission to Sudan to negotiate the purchase of Soviet tanks. What Russia manufactures is not enough to replace what is burned and damaged on the front line.- BLOOMBERG
Hizi habari huwa zinaaminika Kwa wenye akili finyu za ki[emoji193]tu. Last time mlisema Russia ameishiwa silaha hadi kufikia hatua ya kutumia chip za mashine za kufulia nguo kuendeshea mitambo ya kivita. Unahitaji kujitoa ufahamu kukubaliana na hilo.

Anyway wewe tulishakuzoea na mitakwimu yako ya kujifariji unayo okoteza kule The Kyiv Independent na ndo maana watu hawajadili hizo pumba zako wameamua kukupuuza.
 
Na mrusi ata deploy silaha kali zaidi......mwanzoni aliweka vitu vinavyoendana na silaha za ukraine, sio kwamba na yeye hana vitu vya hatari
Kwamba Ukraine ana Cruis, Ballistic, Hypersonic?
 
Mbona iron dome ya muisrael makombora yakutengeneza magetoni ya hezbolah yanapenyaga tu,,, hizo ngoma adui yako akishasoma algorithm yake ni aidha u update software zake au ubadili mfumo kabisa,, na wanaopigana wote ni binadamu wenye ufahamu jinsi hivyo vitu vinavyofanya kazi.......bora s400 zinapita hizo atacms,,,ile ya muisrael yalikua yanapenya makombora home made,,,na kule saudi Arabia zile patriot za mmarekani zilikua zinazidiwa na makombora ya wahouthi hadi wanapiga visima vya mafuta
Silaha zinatumiwa na Hezbollah pamoja na Hamas zinatoka Iran ambaye ni mshirika wa Urusi.Ndio maana imekuwa ikiua Majenerali wa Iran huko Syria. mifumo ya ulinzi wa Anga ya Iron dome, imefanya kazi kubwa kuilinda Israeli. Israeli pamoja na kuzungukwa na maadui pande zote anga lake lipo salama 🤔
 
Hao wazungu acha wapeleke hayo ma S-500 kujilinda fikiria huku kwetu CCM wanafikiria kupeleka mfumo Gani 2025 wa kuiba kura ili wabaki madarakani, maana yake, je yakitokea ya kutokea sisi tukaanze ku claim koloni zetu na kuanzisha mnyukano, ni mfumo gani utatulinda?
 
Back
Top Bottom