Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

Hao wazungu acha wapeleke hayo ma S-500 kujilinda fikiria huku kwetu CCM wanafikiria kupeleka mfumo Gani 2025 wa kuiba kura ili wabaki madarakani, maana yake, je yakitokea ya kutokea sisi tukaanze ku claim koloni zetu na kuanzisha mnyukano, ni mfumo gani utatulinda?
Kwa hiyo wewe unalia na ccm kwa mfumo wao wa wizi wa kura? 😂
 
Ndiyo, mfumo mzuri wa CCM au wengineo ndiyo unaweza tuletea mifumo mingine mizuri tangu ile ya maendeleo hadi ya ki teknolojia au mbadala wake, wewe unasemaje? Fikiria nje ya box.
 
Akili bandia inatumika,kama kitu kikipunguzwa spidi kinapita basi vinakuja visivyo na spidi kama drone za pangaboy.
 
Silaha zinatumiwa na Hezbollah pamoja na Hamas zinatoka Iran ambaye ni mshirika wa Urusi.Ndio maana imekuwa ikiua Majenerali wa Iran huko Syria. mifumo ya ulinzi wa Anga ya Iron dome, imefanya kazi kubwa kuilinda Israeli. Israeli pamoja na kuzungukwa na maadui pande zote anga lake lipo salama 🤔
Lipo salama hayapiti??

View: https://m.youtube.com/watch?v=pseTYiBdjHo

 
Mpaka uone Urusi kafikia hatua ya mwisho kulinda Anga ujue hali si hali. Baada ya ATACMS missiles huenda marekani aka Deploy silaha kali zaidi kumaliza kitisho cha S-500.ikiwa ATACMS hazitafua dafu.
Sasa hivi Ukraine inasafisha njia kwa Ndege za kivita Chapa F-16 kuanza kupiga kazi, kwa kuharibu mifumo ya anga ya Urusi🤔
Mwambie Babu Biden Afungue Dirisha Asogeze Pazia Awaone wanaume wameingia Cuba Wanamsubiria kwa Hamu. Kule Middle East kuna Hezbollah nao wanamsubiri Israel kwa Hamu Kazi Wanayo
 
Mpaka uone Urusi kafikia hatua ya mwisho kulinda Anga ujue hali si hali. Baada ya ATACMS missiles huenda marekani aka Deploy silaha kali zaidi kumaliza kitisho cha S-500.ikiwa ATACMS hazitafua dafu.
Sasa hivi Ukraine inasafisha njia kwa Ndege za kivita Chapa F-16 kuanza kupiga kazi, kwa kuharibu mifumo ya anga ya Urusi[emoji848]
Ni rubani yupi wa Ukraini Mwenye akili ya kuendesha hiyo advance fighter jet?
 
Kwani F-16 zimeanza kutumika na majeshi ya Ukraine dhidi ya Russia?
Mwezi huu ndio ilikuwa ndio f-16 ziwe deployed Frontline Ukraine...
....
KYIV, May 10 (Reuters) - Kyiv expects to receive its first F-16 fighter jets from its Western allies in June-July, a high-ranking Ukrainian military source said on Friday.10 May 2024
 
Huo mfumo ni noma sana ...unatungua Hadi Mbu
Sio kweli, unaleta uhuni sasa kwani mfumo huu ulikuwa haujawahi kujaribiwa vitani na sasa ndio itakua ni mara yake ya kwanza.

Mfumo huu ni upgrades tu ya ile mingine ya S-300/S-400 ambayo tayari imeshashindwa kazi.

Needless to say the S-500 Air Defense System remains the Russia's sole trump card that they will rely on to protect their annexed Crimea Peninsula and time will tell if it won't be another sitting duck in the battlefield.
 
Hii Urusi kuanza kupeleka Cuba manowari zenye uwezo wa kubeba nukes warhead ni dalili kwamba hali si hali huko Ukraine. Kwa hiyo ameanza vitisho 🤔
 
Any airfields hosting Ukraine's F-16 fighter jets, whether they are in or outside the country, will be legitimate targets for the Russian military if they participate in combat missions against Moscow’s forces." Said Mr. Putin
Dictator Putin is seeking to plunge his war weary nation into a battle they will never forget and the one they will never win.
 
Mwambie Babu Biden Afungue Dirisha Asogeze Pazia Awaone wanaume wameingia Cuba Wanamsubiria kwa Hamu. Kule Middle East kuna Hezbollah nao wanamsubiri Israel kwa Hamu Kazi Wanayo
Kwamba unadhani Babu alikuwa hajui kuwa Russia wanakuja Cuba? Hizo nchi wanamashirikiano makubwa zaidi ya unavyodhani...mengine ni stori tu za kukosa kazi ya kifanya.
 
Mpaka uone Urusi kafikia hatua ya mwisho kulinda Anga ujue hali si hali. Baada ya ATACMS missiles huenda marekani aka Deploy silaha kali zaidi kumaliza kitisho cha S-500.ikiwa ATACMS hazitafua dafu.
Sasa hivi Ukraine inasafisha njia kwa Ndege za kivita Chapa F-16 kuanza kupiga kazi, kwa kuharibu mifumo ya anga ya Urusi🤔
Bado namuamini Mrusi kwenye uwezo wa kubadilika kulingana na mahitaji ya battlefield. Sio tu atacms ila over time watakuja na suruhu ya changamoto nyingine kama F-16
 
Kumbe we ni mchanga kwenye haya mambo ...... Russia ndio super power wa mambo ya siraha ... plus na (AD) Air defenses
Hapana, super power ni USA, ubora wa silaha za Rusia unatiliwa shaka, zile supersonic missiles siku hizi hazisikiki na hazina impact yoyote.
 
S-500 ndio latest radar ya Urusi na Sukho SU-57 ndio ndege ya Kisasa Kabisa Na vyote vipo kwenye uwanja wa mapambano.Kutoka hapo Urusi labda itumie nyuklia 🤔
Kinzhal ni siraha ya kisasa zaidi ukiilinganisha na ma FAB-500/1500. Fuatilia walianza na ipi vitani baadae waka introduce ipi na ipi inazifanya nini defensive lines za wa Ukraine.
 
S400 haijashindwa hata,Bali Urusi wameamua kuongeza nguvu baada ya NATO kuingia kazini kwa kujidai kumpa ruhusa Ukraine kupiga ndani ya Urusi wakati wanaopiga ni wao.Urusi alipeleka s400 kulingana na uwezo wa Ukraine kwa wakati huo.
Lakini baada ya NATO kujiingiza na kuamua kupiga ndani ya Urusi nao Urusi Sasa wameamua kupeleka silaha itakayowamudu NATO.kumbuka Ukraine ilishatolewa mashindanoni.
Sasa ni baina ya Urusi na NATO.
Hata hivyo silaha za Ukraine hazikuweza kupiga daraja la crimea.
Unaongea vitu vya ajabu, S400 zimepasuka vya kutosha kuanzia hapo Crimea na kwingineko. Imefikia hatua ambayo, S400 sio tu inashindwa kulinda anga ila yenyewe haiwezi kujilinda
 
Back
Top Bottom