Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

Kwamba unadhani Babu alikuwa hajui kuwa Russia wanakuja Cuba? Hizo nchi wanamashirikiano makubwa zaidi ya unavyodhani...mengine ni stori tu za kukosa kazi ya kifanya.
Kujua au kutokujua kwamba wanaume wamepaki Cuba it doesn't make sense what make sense ni kuchukua hatua ndio kitu cha maana. Alafu unasema NATO na BRICS wanaushirikiano mkubwa. Unachekesha. Pathetic
 
Mwezi huu ndio ilikuwa ndio f-16 ziwe deployed Frontline Ukraine...
....
KYIV, May 10 (Reuters) - Kyiv expects to receive its first F-16 fighter jets from its Western allies in June-July, a high-ranking Ukrainian military source said on Friday.10 May 2024
Zitatua wapi kwa mfano
 
Back
Top Bottom