Urusi yapeleka Tu 160 (Black Jack) Strategic Nuclear Bomber Sauth Africa

Sasa haya mandege yana impact gani katika uchumi wa Africa? Huku kote ni kutapa tapa .
 
Jamaa una mawazo finyu sana...Kwanza uelewe shida ya Afrika sio kusaidiwa ni kutokua na Viongozi Wazuri hilo ubamlaumu vipi Urusi?? Mfano hapa Tanzania dhahabu yote inasombwa nje pale bank kuu kuna Kg au Ton ngapi za dhahabu??? Urusi ndio atuambie tuwe na Gold Reserve?? Tuna bahari na bandari ujinga wetu wenyewe tunaiba mtu anahomgwa dola laki 2 anatoa maamuzi yanaumiza nchi inakosa dola mil 100!! Unamlaumu Urusi kwa hilo????

Hizo nchi unazotaja Mfano Saudia wana Mafuta lakini pia Viongozi wazuri wanao!! Nigeria , Gabon, Kuna mafuta nenda kaone ujinga unaofanyika pale yaani Miafrika hovyoooo...
Singapore, Thailand ..,!NA Asian Tigers hao uchumi wao umeinuliwa kwa mkakati wa kufanya kazi na uzalendo sisi hatuna tunalolisimamia hata kupanga mji mmoja tu hapa Tanzania tumeshindwa tunafanya uchawa!!! Unamlaumu Urusi kwa hilo???

La Mwisho tena hili lielewe vizuri Urusi ana Mabomu ya Nuclear Mengi sana marekani ikianzaVita na Urusi moja kwa moja hakutakua na Nchi inaitwa USA wala London unayojuia wala Paris!! Hakutakua na mji unaitwa Moscow pia na dunia itaangamia je ndio mnalolitaka???
 
Mpe elimu huyu gaidi wa Ukraine toka Bumbuli ili atoke ndotoni
 
Arow 3 inakava karibia 2000km .hizi mbwembwe zisikie tu kwenye Wikipedia lakini kwenye real word ni shida
 
Wanazikimbiza wanafahamu Ukraine anaweza kuzilipua muda wowote. Ukrane kaanza kurusha masafa marefu sasa Russia anaogopa sabotage.
 
Hii habari ya lini? Wajinga utawakamata masikio sana, Hii sio Mara ya kwanza TU 160 Kutua south Africa, 2019 zilisha enda huko.
 
Hii habari ya lini? Wajinga utawakamata masikio sana, Hii sio Mara ya kwanza TU 160 Kutua south Africa, 2019 zilisha enda huko.
Unataka source hii hapa sasa naomba unipe source yako ya Hizi Bomber kutua South Africa 2019 usipoleta we utakua mshobokaji tu kama akina aunt Aggrey.
 

Attachments

  • Gallery_1730346629878.jpg
    251.9 KB · Views: 1
😁😁😁
 
Hongera kwa kutoa somo ila hao mnaobishana nao wanavichwa
 
Vita Mbaya Sana
Meza Ya Duara Kutafuta Amani Duniani Ni Muhimu Sana
 
Muda si mrefu SA ataanza amrisha majiran kwa kujivunia hizo silaha , waafrika wanaendeshwa na hisia na sio akili
 
Ni kuwatafutia S.Africa matatizo tu.Kuanzisha ugomvi na dude kubwa kama USA bila mipango na nguvu-kamili nao ni ujinga mtupu!

Ndo yaleyale ya Iran.. mi naona Urusi sasa hivi anatafuta deal kwa nguvu zote kuna nchi zitapewa zitauziwa silaha hata kwa mali kauli.. ili mradi Urusi apate mianya ya kibiashara.. ameanzisha bric kwa ajili hii kupata mianya mingi ya biashara.

Kwenye huo umoja wa Brics atakaekuwa anauza sana ni Urusi akifatia china na india.. wengine wataambiwa wajiunge kwa masharti ya mikopo nafuu kisha wanaanza kuuziwa au wanauza kwa kupangiwa bei

Sasa SA na ndege za nyuklia za nini.. ana bifu na nan had apewe ulinzi wa ndege za nyuklia.. Urusi anatengeneza mipango hapo.
 
Taifa la kivita mwaka wa tatu bado wanahangaika na Ukraine? Hata mimi sikutegemea mpaka sasa Ukraine itakuwa haija surrender.
People also ask
How many countries are sending military aid to Ukraine?
Countries delivering military aid to Ukraine

The aid has mostly been co-ordinated through the Ukraine Defense Contact Group, whose 57 member countries include all 32 member states of NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…