Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa una mawazo finyu sana...Kwanza uelewe shida ya Afrika sio kusaidiwa ni kutokua na Viongozi Wazuri hilo ubamlaumu vipi Urusi?? Mfano hapa Tanzania dhahabu yote inasombwa nje pale bank kuu kuna Kg au Ton ngapi za dhahabu??? Urusi ndio atuambie tuwe na Gold Reserve?? Tuna bahari na bandari ujinga wetu wenyewe tunaiba mtu anahomgwa dola laki 2 anatoa maamuzi yanaumiza nchi inakosa dola mil 100!! Unamlaumu Urusi kwa hilo????Russia (USSR) pamoja na kuwa na mshikamano na mataifa mengi maskini ya Afrika kwa miaka mingi, hakuna nchi ya Afrika iliyowahi kunufaika na uhusiano huo kiasi cha kuondokana na umaskini. Mwisho wake na Urusi yenyewe ikaashia kufilisika na kwenda kuwapigia magoti mahasimu wake. Wakamchangia, ndiyo akanyanyuka.
GDP ya Urusi ni dola trillion 2, ya USA ni 24, ya China ni 13. Urusi hata angetamani kusaidia, hana huo uwezo kwani mapato yake bado ni kidogo sana ukilinganisha na mataifa mengine makubwa kama USA, Japan, China, na mataifa ya Ulaya Magharibi kama Germany.
Maskini hata mshikamane vipi, mtazidi kuimarisha umaskini wenu. Mataifa wajanja, kama South Korea, Hong Kong, Singapore, Taiwan, Saudi Arabia, Qatar, UAE, yaliamua kushikamana na USA, leo hayashikiki, wakati kule kwa Un Jong, hata TV kuwa nayo ni shida.
Afrika Kusini, isipoendesha siasa zake kwa ujanja na tahadhari, kuna siku inaqeza kugeuka na kuwa mfano mzuri kwa mataifa yaliyofika hatua fulani halafu yakadondoka mpaka jalalani.
Kabisa Mrusi hana hatia ni mwema sanaKwa hiyo Mrusi ni mtu mwema sio?
Mpe elimu huyu gaidi wa Ukraine toka Bumbuli ili atoke ndotoniJamaa una mawazo finyu sana...Kwanza uelewe shida ya Afrika sio kusaidiwa ni kutokua na Viongozi Wazuri hilo ubamlaumu vipi Urusi?? Mfano hapa Tanzania dhahabu yote inasombwa nje pale bank kuu kuna Kg au Ton ngapi za dhahabu??? Urusi ndio atuambie tuwe na Gold Reserve?? Tuna bahari na bandari ujinga wetu wenyewe tunaiba mtu anahomgwa dola laki 2 anatoa maamuzi yanaumiza nchi inakosa dola mil 100!! Unamlaumu Urusi kwa hilo????
Hizo nchi unazotaja Mfano Saudia wana Mafuta lakini pia Viongozi wazuri wanao!! Nigeria , Gabon, Kuna mafuta nenda kaone ujinga unaofanyika pale yaani Miafrika hovyoooo...
Singapore, Thailand ..,!NA Asian Tigers hao uchumi wao umeinuliwa kwa mkakati wa kufanya kazi na uzalendo sisi hatuna tunalolisimamia hata kupanga mji mmoja tu hapa Tanzania tumeshindwa tunafanya uchawa!!! Unamlaumu Urusi kwa hilo???
La Mwisho tena hili lielewe vizuri Urusi ana Mabomu ya Nuclear Mengi sana marekani ikianzaVita na Urusi moja kwa moja hakutakua na Nchi inaitwa USA wala London unayojuia wala Paris!! Hakutakua na mji unaitwa Moscow pia na dunia itaangamia je ndio mnalolitaka???
Hujui kitu unawaza njaa tu na misaada ya condomSasa haya mandege yana impact gani katika uchumi wa Africa? Huku kote ni kutapa tapa .
Arow 3 inakava karibia 2000km .hizi mbwembwe zisikie tu kwenye Wikipedia lakini kwenye real word ni shidaIran atatest hiyo THAAD muda sio mrefu
🚨Update: Area protected by the US THAAD anti-ballistic missile batteries, which are capable of engaging targets at ranges of 150 to 200 kilometers.
These US weapons, never used in combat, will be put to the test very soon!!
Hii habari ya lini? Wajinga utawakamata masikio sana, Hii sio Mara ya kwanza TU 160 Kutua south Africa, 2019 zilisha enda huko.Kwa mara ya kwanza ndege za Mashambulizi ya Nyuklia za Russia Chapa Tu 160, Il 62 na An 124 zimetua bara la Afrika aidha ni mikakati ya kiulinzi na kivita inaasukwa.
Update: Russia is sending several nuclear bombers to South Africa!! The deployment will include a Il-62, An-124, and Tu-160 strategic bomber aircraft.
It is noted that these aircraft will be landing on the African continent for the first time, specifically at the South African Air Force base Waterkloof in Pretoria.
View attachment 3139232
Unataka source hii hapa sasa naomba unipe source yako ya Hizi Bomber kutua South Africa 2019 usipoleta we utakua mshobokaji tu kama akina aunt Aggrey.Hii habari ya lini? Wajinga utawakamata masikio sana, Hii sio Mara ya kwanza TU 160 Kutua south Africa, 2019 zilisha enda huko.
😁😁😁😁Hizi ndege zilipelekwa Venezuela pale marekani alipoa kama maji ya mtungini
😁😁😁THAAD hatuitaki maana imeshindwa kuzuia nyumba ya Netanyahu isishambuliwe hata na drone 1 tu kutoka kwa vijana wa Houth (Yemen)
Drone inatembea zaidi ya kilometres 200 kutoka mpakani hadi katika mji mkuu na kupiga nyumba ya Netanyahu huku THAAD yako na Iron Dome hazijui kinachoendelea. Huu si ujinga kuiamini!!
Uchumi hauwezi Kuja bila kua na usalama na usalama hauwezi Kuja bila kua na vitu kama Tu bombers nkSasa haya mandege yana impact gani katika uchumi wa Africa? Huku kote ni kutapa tapa .
Hongera kwa kutoa somo ila hao mnaobishana nao wanavichwaJamaa una mawazo finyu sana...Kwanza uelewe shida ya Afrika sio kusaidiwa ni kutokua na Viongozi Wazuri hilo ubamlaumu vipi Urusi?? Mfano hapa Tanzania dhahabu yote inasombwa nje pale bank kuu kuna Kg au Ton ngapi za dhahabu??? Urusi ndio atuambie tuwe na Gold Reserve?? Tuna bahari na bandari ujinga wetu wenyewe tunaiba mtu anahomgwa dola laki 2 anatoa maamuzi yanaumiza nchi inakosa dola mil 100!! Unamlaumu Urusi kwa hilo????
Hizo nchi unazotaja Mfano Saudia wana Mafuta lakini pia Viongozi wazuri wanao!! Nigeria , Gabon, Kuna mafuta nenda kaone ujinga unaofanyika pale yaani Miafrika hovyoooo...
Singapore, Thailand ..,!NA Asian Tigers hao uchumi wao umeinuliwa kwa mkakati wa kufanya kazi na uzalendo sisi hatuna tunalolisimamia hata kupanga mji mmoja tu hapa Tanzania tumeshindwa tunafanya uchawa!!! Unamlaumu Urusi kwa hilo???
La Mwisho tena hili lielewe vizuri Urusi ana Mabomu ya Nuclear Mengi sana marekani ikianzaVita na Urusi moja kwa moja hakutakua na Nchi inaitwa USA wala London unayojuia wala Paris!! Hakutakua na mji unaitwa Moscow pia na dunia itaangamia je ndio mnalolitaka???
Hata sabotage huelewi nininiWanazikimbiza wanafahamu Ukraine anaweza kuzilipua muda wowote. Ukrane kaanza kurusha masafa marefu sasa Russia anaogopa sabotage.
Muda si mrefu SA ataanza amrisha majiran kwa kujivunia hizo silaha , waafrika wanaendeshwa na hisia na sio akiliKwa mara ya kwanza ndege za Mashambulizi ya Nyuklia za Russia Chapa Tu 160, Il 62 na An 124 zimetua bara la Afrika aidha ni mikakati ya kiulinzi na kivita inaasukwa.
Update: Russia is sending several nuclear bombers to South Africa!! The deployment will include a Il-62, An-124, and Tu-160 strategic bomber aircraft.
It is noted that these aircraft will be landing on the African continent for the first time, specifically at the South African Air Force base Waterkloof in Pretoria.
View attachment 3139232
Ni kuwatafutia S.Africa matatizo tu.Kuanzisha ugomvi na dude kubwa kama USA bila mipango na nguvu-kamili nao ni ujinga mtupu!
Hiyo THAAD Labda itungue makombora ya Somalia. Sio ya mrusiKesho mmarekani ataleta B-52 bombers pale kigamboni na kufunga MIFUMO ya THAAD Nairobi. UBAYA Ubwela
People also askTaifa la kivita mwaka wa tatu bado wanahangaika na Ukraine? Hata mimi sikutegemea mpaka sasa Ukraine itakuwa haija surrender.