Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

Yahamishiwe Saudi Arabia ashindwe kula kitimoto na kunywa vodka akihudhuria mikutano huko.
 
Russia waache kelele za kijinga, waondoe wanajeshi wao Ukraine na wawe tayari kulipia hasara waliyoisababishia hiyo nchi na Putin na genge lake wapelekwe mahakamani The Hague. That's all.
Weee! Aliye muuwa Gaddafi alishtakiwa wapi? Aliyemuuwa Sadam Husen alishtakiwa wapi? Na uharibifu wa nchi hizo nani analipia? Je uvamizi wa nchi kamaa Syria, Afghastan na kwingineko nani alaumiwe na kushtakiwa? Mbona hapo Sudan hivi sasa hapakaliki vita kali na wao hao wanaojiona wanaustaarabu wanaondoka na kuacha machafuko?
 
Hahaha..
Wanapeleka mashushushu kama journalists wanataka waruhusiwe?!!!

Halafu yaweza kuwa kisasi maana Russia bado wanamshikilia mwandishi wa US kwa mashtaka ya kubambikiziwa...

"Russian officials are upset that United States visas haven't been issued to Russian reporters amid ongoing efforts by the U.S. to push for the release of Evan Gershkovich, a journalist with The Wall Street Journal who was detained by Russia's Federal Security Service (FSB) at the end of March over espionage allegations..."
Hizi zaidi ya kamasi
 
Yupo sahihi kabisa, waandishi walikuwa waende kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa na sio Marekani. Sasa kisa Umoja upo Marekani basi wanajichukulia sheria mkononi bila kufuata taratibu za Umoja wa Mataifa. Zikiamishwa itatuliza kelele za USA, ingawa Marekani anaweza kuweka pingamizi maana nikama kumnyang'anya madaraka aliyojipa dhidi ya mataifa mengine.
Naunga mkono hoja, lakini pia nchi hiyo itakayopewa Makao Makuu ijitolee kuwa mchangiaji Mkubwa wa umoja huo kama inavyofanya sasa Marekani.
 
Russia uwezo hana atabaki tu kubweka bweka kama mbwa koko mbele ya baba lao duniani.
[emoji4][emoji4][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]
JamiiForums2036854311.jpg
 
Kwanza kaenda New York kufanya nini?

Putin kaanza kujipendekeza kwa US?
we nae unaishi dunia ipi inaonekana umekurupuka ......em tafuta tafuta basi hata mitandaoni ili ujue lavrov kaenda fanyaje na kwa sasa hivi russia ni nani katika hilo baraza kaa mwezi huu
 
Kwenye kutokufungamana na upande wowote Mtumishi wa MUNGU Julius Kambalage Nyerere alitumia akili kubwa Sana
dunia ya leo ni lazima uchague upande mzee ama kwa ukae upande wa uchina na russia au upande wa marekani na ulaya huwezi kukaa neutral.....
 
Russia waache kelele za kijinga, waondoe wanajeshi wao Ukraine na wawe tayari kulipia hasara waliyoisababishia hiyo nchi na Putin na genge lake wapelekwe mahakamani The Hague. That's all.
vipi bush na wenzie ulaya wanawalipa iraq sirya afghanistan kwa uvamizi wao au hizo habar ni za kale 19878 huko
 
Back
Top Bottom