Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

Hawana kigezo chochote cha kupeleka silaha.
Unafuatilia habari au unakaza fuvu? Poland katoa ndgevita Mig.29
Ujerumani katoa vifaru vya Leopard II nchi kibao vimeto silaha. mbalimbali Uturuki alitoa drones za kutosha
 
View attachment 2599432

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa.

Sergei Lavrov, ambaye yuko mjini New York, amewaambia waandishi wa habari kando ya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa: "Itakuwa vyema sana ikiwa Umoja wa Mataifa utahamisha makao yake makuu kutoka New York na kuupeleka mahali pengine popote".

Kuhusiana na suala hilo, Dmitry Peskov, msemaji wa Ikulu ya Kremlin, amesema wazo la kubadilisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine linaweza kutathminiwa.

Akizungumzia tatizo la utoaji viza linalosababishwa na Marekani kwa jumbe za kidiplomasia na timu za vyombo vya habari vya nchi mbalimbali, msemaji huyo wa Kremlin amesema: Russia haiko peke yake katika tatizo la utoaji wa viza unaokwamishwa na Marekani ikiwa ni mwenyeji katika Umoja wa Mataifa.

Kuhusu hatua ya kutowapatia viza waandishi wa habari wa Russia wanaokusudia kwenda kufanya kazi katika Umoja wa Mataifa, Peskov amesisitiza kwa kusema: "hili ni suala linalohitaji majadiliano mazito na nchi ambazo, nazo pia zinalalamikia vikali suala hili".

Kabla ya hapo, waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov aliielezea kuwa ni ujinga hatua ya Marekani ya kukataa kutoa viza kwa waandishi wa habari wa Russia.

Hayo ndo yanaitwa mawazo mbadala. kama vile Trumpalivyotamka kwamba marekani ijitoe NATO. Wanaona wenyewe kama pig bank wao.
 
Yupo sahihi kabisa, waandishi walikuwa waende kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa na sio Marekani. Sasa kisa Umoja upo Marekani basi wanajichukulia sheria mkononi bila kufuata taratibu za Umoja wa Mataifa. Zikiamishwa itatuliza kelele za USA, ingawa Marekani anaweza kuweka pingamizi maana nikama kumnyang'anya madaraka aliyojipa dhidi ya mataifa mengine.
Marekani ni mhubiri mkuu, lakini ndiye mkiukaji mkuu wa haki za binadamu.
 
View attachment 2599432

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa.

Sergei Lavrov, ambaye yuko mjini New York, amewaambia waandishi wa habari kando ya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa: "Itakuwa vyema sana ikiwa Umoja wa Mataifa utahamisha makao yake makuu kutoka New York na kuupeleka mahali pengine popote".

Kuhusiana na suala hilo, Dmitry Peskov, msemaji wa Ikulu ya Kremlin, amesema wazo la kubadilisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine linaweza kutathminiwa.

Akizungumzia tatizo la utoaji viza linalosababishwa na Marekani kwa jumbe za kidiplomasia na timu za vyombo vya habari vya nchi mbalimbali, msemaji huyo wa Kremlin amesema: Russia haiko peke yake katika tatizo la utoaji wa viza unaokwamishwa na Marekani ikiwa ni mwenyeji katika Umoja wa Mataifa.

Kuhusu hatua ya kutowapatia viza waandishi wa habari wa Russia wanaokusudia kwenda kufanya kazi katika Umoja wa Mataifa, Peskov amesisitiza kwa kusema: "hili ni suala linalohitaji majadiliano mazito na nchi ambazo, nazo pia zinalalamikia vikali suala hili".

Kabla ya hapo, waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov aliielezea kuwa ni ujinga hatua ya Marekani ya kukataa kutoa viza kwa waandishi wa habari wa Russia.
Yaende Arusha, wale kina mangi wanaopenda kubinywa binywa matako na wazungu watafurahi sana
 
Back
Top Bottom