Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

Wahamishie huko Moscow au St Petersburg...
 
Yahamishiwe Saudi Arabia ashindwe kula kitimoto na kunywa vodka akihudhuria mikutano huko.
 
Russia waache kelele za kijinga, waondoe wanajeshi wao Ukraine na wawe tayari kulipia hasara waliyoisababishia hiyo nchi na Putin na genge lake wapelekwe mahakamani The Hague. That's all.
Weee! Aliye muuwa Gaddafi alishtakiwa wapi? Aliyemuuwa Sadam Husen alishtakiwa wapi? Na uharibifu wa nchi hizo nani analipia? Je uvamizi wa nchi kamaa Syria, Afghastan na kwingineko nani alaumiwe na kushtakiwa? Mbona hapo Sudan hivi sasa hapakaliki vita kali na wao hao wanaojiona wanaustaarabu wanaondoka na kuacha machafuko?
 
Hizi zaidi ya kamasi
 
Naunga mkono hoja, lakini pia nchi hiyo itakayopewa Makao Makuu ijitolee kuwa mchangiaji Mkubwa wa umoja huo kama inavyofanya sasa Marekani.
 
Kwanza kaenda New York kufanya nini?

Putin kaanza kujipendekeza kwa US?
we nae unaishi dunia ipi inaonekana umekurupuka ......em tafuta tafuta basi hata mitandaoni ili ujue lavrov kaenda fanyaje na kwa sasa hivi russia ni nani katika hilo baraza kaa mwezi huu
 
Kwenye kutokufungamana na upande wowote Mtumishi wa MUNGU Julius Kambalage Nyerere alitumia akili kubwa Sana
dunia ya leo ni lazima uchague upande mzee ama kwa ukae upande wa uchina na russia au upande wa marekani na ulaya huwezi kukaa neutral.....
 
Russia waache kelele za kijinga, waondoe wanajeshi wao Ukraine na wawe tayari kulipia hasara waliyoisababishia hiyo nchi na Putin na genge lake wapelekwe mahakamani The Hague. That's all.
vipi bush na wenzie ulaya wanawalipa iraq sirya afghanistan kwa uvamizi wao au hizo habar ni za kale 19878 huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…