Urusi yapokea msaada wa silaha kutoka kwa waasi wa Iraq, kwa kupitia Iran - hali mbaya

Urusi yapokea msaada wa silaha kutoka kwa waasi wa Iraq, kwa kupitia Iran - hali mbaya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa kweli Urusi imefikia kiwango kipya cha aibu, mpaka wanapokea misaada ya silaha kutoka kwa waasi, kainchi kadogo Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi....

Iranian networks have been working to smuggle weapons from Iraq to Russia as Moscow’s plans to quickly invade Ukraine’s capital and topple the government failed to succeed, according to intelligence and sources familiar with the matter.

Among the weapons being transferred to Russia are Iran’s Bavar 373 missile system, the Guardian reported late Monday night.

For the latest headlines, follow our Google News channel online or via the app.

Iraq’s Iran-backed Popular Mobilization Forces (PMF), also known as Ḥashd al-Shaabi, reportedly dismantled and sent two Brazilian-designed Astros II rocket-launcher systems to Iran on April 1, the Guardian said.

The PMF sent rocket-propelled grenades and anti-tank missiles to Iran through the Salamja border crossing on March 26. From there, the Iranian military transferred the weapons to Russia by sea, the report cited a commander of the Iran-backed militia as saying.

“We don’t care where the heavy weapons go [because we don’t need them at the moment],” a PMF source told the Guardian. “Whatever is anti-US makes us happy.”

Russia has been hit by crushing economic sanctions from the US and Europe due to its invasion of Ukraine, which is now in its second month.

The sanctions targeted banks, oligarchs, Putin’s family and weapons manufacturers. It has been reported that Moscow is struggling to acquire needed weapons after being unable to take over Ukraine swiftly.

While the US has warned countries - most notably China - against trying to help Russia evade sanctions or provide it with weapons, US officials have not addressed such reports of weapons smuggling from Iran.

The Pentagon said it did not have any comment “as this would be related to intelligence assessments.”

Al Arabiya English has reached out to the State Department for comment.

Mlianza kwa kuisingizia china sasa hivi mmehamia kwa Iran mtapatapa sana mwaka huu.

China ameanza kuchoka kumbeba huyo Putin wenu kwenye operesheni yake hii, amekua mzigo maana imechukua muda mrefu.

Hakufaulu kubadilisha uongozi Kiev ndani ya siku chache licha ya magharama kama yote, ameishia kukimbizana na tumiji tudogo huko mpakani.

Hebu angalia kwenye hii ramani hako kamji ka Marioupol mlikopigia makelele, kako mbali sana huko mpakani....

ukraine-political-map-vector-id491277690
 
Binafsi sikutegemea kama Russia ingewachukua muda mrefu hivi... pengine anasita sita kutumia silaha zake hatari... lakini kama ni taifa kubwa kivita nadhani kama ingewawia vigumu kunaliza shuhuli hapo au wekutana na kitu ambacho hawakukitegemea huko Ukraine
 
Russia walikwambia wao Mpango wao Ni kumaliza Vita ndani ya siku ngapi?
 
Binafsi sikutegemea kama Russia ingewachukua muda mrefu hivi... pengine anasita sita kutumia silaha zake hatari... lakini kama ni taifa kubwa kivita nadhani kama ingewawia vigumu kunaliza shuhuli hapo au wekutana na kitu ambacho hawakukitegemea huko Ukraine
Russia ndiyo Taifa pekee duniani kupigana na mataifa zaidi ya 30 "NATO" (USA na EU) kwa wakati mmoja ikiwa na vikwazo vya kiuchumi.

Yani hapo Ukraine ni chambo tu lakini silaha zote na Askari wengi sana ni hao hao western countries.

Unategemea Russia ayashinde hayo mataifa kwa miezi miwili tu [emoji848][emoji6]
 
Onyesha source yako hio habari inayosema walisema wanamaliza Vita ndani ya siku 3.

Ukishindwa kuweka source then toka hapo nje angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti hakika "Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele."
Kwa ujuavyo wewe walipangaje mzee
 
Russia ndiyo Taifa pekee duniani kupigana na mataifa zaidi ya 30 "NATO" (USA na EU) kwa wakati mmoja ikiwa na vikwazo vya kiuchumi.

Yani hapo Ukraine ni chambo tu lakini silaha zote na Askari wengi sana ni hao hao western countries.

Unategemea Russia ayashinde hayo mataifa kwa miezi miwili tu [emoji848][emoji6]
Hapo umeongea point mkuu so si vita ma ukraine peke yake bali ni against all western countries ugumu lazima uwepo
 
Onyesha source yako hio habari inayosema walisema wanamaliza Vita ndani ya siku 3.

Ukishindwa kuweka source then toka hapo nje angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti hakika "Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele."
So mzee unahisi Russia anatoboa kabisa kwenye hili against the western countries
 
Russia ndiyo Taifa pekee duniani kupigana na mataifa zaidi ya 30 "NATO" (USA na EU) kwa wakati mmoja ikiwa na vikwazo vya kiuchumi.

Yani hapo Ukraine ni chambo tu lakini silaha zote na Askari wengi sana ni hao hao western countries.

Unategemea Russia ayashinde hayo mataifa kwa miezi miwili tu [emoji848][emoji6]
Taifa ndogo limemshinda kupiga ndio iwe apigane na mataifa 30. Amesaidiwa msaada wa silaha kutoka China, Iran n.k. lakini bado wapi.
 
Mtoa mada inaonekana Ni mkenya ila hata kingereza hujui,

Tangu lini Kitu Cha ku"Smuggle" kikawa official Kama ulivoandika kwenye heading
 
Binafsi sikutegemea kama Russia ingewachukua muda mrefu hivi... pengine anasita sita kutumia silaha zake hatari... lakini kama ni taifa kubwa kivita nadhani kama ingewawia vigumu kunaliza shuhuli hapo au wekutana na kitu ambacho hawakukitegemea huko Ukraine
Russia hapigan na Ukraine na hiyo sio vitani oparetion ya kijeshi ingekuwa vita zaman sana Ukraine ingesha sanda kwa nn anayetafutwa hajitokezi anaijua vyema RUSSIA .

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom