Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari......Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka Nchi za NATO na Ukraine kwa ☢️

🚨Update: Russia begins production of mobile nuclear shelters! These shelters is designed to protect citizens from various threats, including light radiation from nuclear explosions and radioactive contamination!

View attachment 3156179View attachment 3156180View attachment 3156181
Vita ya dunia inakaza soon
 
Mwaka 1994, Ukraine ilikubali kuhamisha Silaha za Nyuklia, kwenda Urusi na ikawa sehemu ya Mkataba wa “Non-proliferation”, in exchange, Ukraine wakahakikishiwa na Urusi, Amerika na Uingereza kwamba uhuru wake Ukraine na mipaka iliyopo vitaheshimiwa.

Urusi ilivunja makubaliano hayo.

Otherwise Ukraine isingekuwa mojawapo ya non-nuclear countries
 
Hiyo ni mikwala tu anadhan hiyo nyuklia anayo yeye tu
Watu kama wewe hua mnasumbua sana baadae.
Katika mambo ya ulinzi na usalama hua hakuna kupuuza jambo,hata kama Dogo namna Gani.
Huko USA wanafuatilia kwa karibu sana Kila kinachoendelea Urusi Sasa hivi,halafu wewe mfuga njiwa unakuja na vijineno vyako vya kwenye mikusanyiko ya wacheza dhumna.
 
Hapa nakubaliana nawe kabisa na ndio maana hata zile shelter pia kwa nyuklia war hazina maana yeyote sababu watu hawata weza kukaa kule na kufanya mambo yao hata kwa zaidi ya miezi mitatu au sita mpaka mwaka
Mkuu naomba nikuambie kitu,warusi ndio wataalamu namba moja wa mambo ya nyukilia hapa duniani,walipotengeneza hivyo vibanda wanajua wanachokifanya,ondoa wasiwasi.
Katika maisha Yako nadhani hukuwahi kujua kama Kuna kitu Cha namna hii.
 
Back
Top Bottom