Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

Huu ni utani contena hii ndio mtu ajikinge na nuclear blast labda kama litafukiwa chini ya ardhi. Bila hivyo hilo contena litakuwa oven kwa waliojificha humo.
 
Huu ni utani contena hii ndio mtu ajikinge na nuclear blast labda kama litafukiwa chini ya ardhi. Bila hivyo hilo contena litakuwa oven kwa waliojificha humo.
Halafu contena 1 wanaingia watu wangapi? au ndo wanajisondeka humo kama daladala?
 
Hiyo ni mikwala tu anadhan hiyo nyuklia anayo yeye tu
Marekani, Spain, Greece na Italy wamechimba Kiev kwa mwendo ngiri mkia juu kinyesi nje
 
Attachments

  • IMG_20241121_120700.jpg
    IMG_20241121_120700.jpg
    84.8 KB · Views: 3
Marekani, Spain, Greece na Italy wamechimba Kiev kwa mwendo ngiri mkia juu kinyesi nje
Endelea kuzania US na wenzake ni maandazi kama wale kobazi. US ni level nyingine imagine vita zote dunian anazicontrol ndio uende kiboya uone balaa lake
 
Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari......

Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka Nchi za NATO na Ukraine kwa Nuclear

Update: Russia begins production of mobile nuclear shelters! These shelters is designed to protect citizens from various threats, including light radiation from nuclear explosions and radioactive contamination!

View attachment 3156179View attachment 3156180View attachment 3156181
Hichi ndicho alichobakisha Putin Kila siku kutishia nuclear utafikir anazo peke yake.
 
Back
Top Bottom