Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️☢️Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari......Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka Nchi za NATO na Ukraine kwa ☢️

🚨Update: Russia begins production of mobile nuclear shelters! These shelters is designed to protect citizens from various threats, including light radiation from nuclear explosions and radioactive contamination!

View attachment 3156179View attachment 3156180View attachment 3156181
Ana ongea sana Mrusi apige kama anapiga
 
Safi sana mzalendo wa Dunia putini.Tunakuomba kuanzia Sasa Anza kushusha mvua ya nuclear kuisambaratisha Ukraine na NATO Kwa ujumla.
 
Natumai kwenye haya majeshi ya hii dunia wapo binadamu wengi sana ambao wanaamini binadamu wajao wana haki ya kurithi ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na inayosapoti uhai maana wanasiasa ni washenzi mno.
 
Wanayo super power wenyewe.
Na ndo hao hao sasa wanatunishiana misuli wanataka kupigana mieleka ck za karibuni. Nawashauri waTz wenzangu tusiende huko uwanjani ck hiyo eti kwenda kujionea wenyewe. Hapana. Acha. Hiyo sio Simba na Yanga ni kitu kingine kabisa tena kizito chenye ncha kali.
 
Natumai kwenye haya majeshi ya hii dunia wapo binadamu wengi sana ambao wanaamini binadamu wajao wana haki ya kurithi ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na inayosapoti uhai maana wanasiasa ni washenzi mno.
Yeah. Nadhani wanaSiasa unaweza kuwafananisha na dereva mlevi na mvuta bangi anapokuwa kazini. Hajui kwamba likitokea la kutokea hata yy atakuwemo.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Hapa nakubaliana nawe kabisa na ndio maana hata zile shelter pia kwa nyuklia war hazina maana yeyote sababu watu hawata weza kukaa kule na kufanya mambo yao hata kwa zaidi ya miezi mitatu au sita mpaka mwaka
Hebu fikiria, Mahangaiko yote hayo yanaletwa na watu wawili(2) wanaoshindana eti ni NANI mbabe zaidi.
 
Mkuu naomba nikuambie kitu,warusi ndio wataalamu namba moja wa mambo ya nyukilia hapa duniani,walipotengeneza hivyo vibanda wanajua wanachokifanya,ondoa wasiwasi.
Katika maisha Yako nadhani hukuwahi kujua kama Kuna kitu Cha namna hii.
Mkuu nikusahihishe hii kitu ilianza undwa atomic pale USA ikajaribiwa pale Hiroshima na Nagasaki mpaka sasa ni historia,
hakuna nchi ilijua kuna Bomb la namna ile pale US sasa likarutubishwa vizuri wakatumia kiini ambacho ni Nuclei.
 
Yeah. Nadhani wanaSiasa unaweza kuwafananisha na dereva mlevi na mvuta bangi anapokuwa kazini. Hajui kwamba likitokea la kutokea hata yy atakuwemo.
Dereva aliyevuta mibange.
 
Mbona makasiriko heee. Umepatwa na nini maana sio kwa povu hili. Hili jua lisije wehusha watu
yaan bro na huo ubig dog wako inabidi ujikinge na jua mana hatuna hela ya kukupeleka milembe ukiwehuka. sisi wengine ni wehu wazoefu bro.
 
Tulizeni mihemko
Sasa mbona wakitulia ndo wanapata nafasi ya kujikita kwa undani zaidi kujadili pisi, demu, simba/yanga, nani zaidi?, uchawi upo/haupo, ....... Ni bora tuwaache wakae kama walivyo.
 
[emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518]Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari......Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka Nchi za NATO na Ukraine kwa [emoji3518]

[emoji599]Update: Russia begins production of mobile nuclear shelters! These shelters is designed to protect citizens from various threats, including light radiation from nuclear explosions and radioactive contamination!

View attachment 3156179View attachment 3156180View attachment 3156181
Mikwara mbuzi hiyo
 
Safi sana mzalendo wa Dunia putini.Tunakuomba kuanzia Sasa Anza kushusha mvua ya nuclear kuisambaratisha Ukraine na NATO Kwa ujumla.
Usiombe hii kitu, jaribu kujielemisha kwanza bomu moja la nuclear la sasa linaweza kuleta adhari gan kwenye dunia kama sayari, bomu za nuclear sas sana ziko more powerful zaid ya lililo pigwa iroshima niaka iyo
 
Eti miaka ya nyuma kuna mzee aliwahi kukamatwa na jesh kisa anatengeneza magobole. Waliona fahari kununua silaha nje na sio kuwezesha vipaji vya ndani
Deal za watu hizo , wanapo agiza Hiyo mizogo kuna watu wanapiga hela kibao , hata wewe sasa hivi Ukifanya innovation usitegemea kuwa utapewa backup na Serikali ugunduzi wako means Utakuja kuziba fursa ya upigaji pesa wa watu wengine ,

So wafanyabishara ambao wameishika system ya siasa hawawezi kuruhusu Hilo expecialy in Africa
 
Ni kweli.
 
Attachments

  • IMG_20241111_103528.jpg
    IMG_20241111_103528.jpg
    45 KB · Views: 3
Back
Top Bottom