Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

Hizo ni mikwara tu, huwezi kuzuia nyuklia kwa asilimia mia moja lazima itakudhuru tu hivyo hicho anachofanya dikteta Putin inaitwa Nuclear Blackmail deliberately designed to rattle the western countries to stop supporting Ukraine.
 
Mikw
MIkwara bubu
 
Jana nilikuwa naichallange Chart GPT kuhusu Historia itaandikwaje baada ya miaka 10-20 endapo ikitokea Vita ya 3 ya Dunia kupitia mgogoro wa Ukraine na Urusi kwasasa!

Naomba kushare majibu yake.
No. 1

No. 2

No. 3


Au wewe utakuwa na maoni gani?
 

Attachments

  • Screenshot_2024-11-19-20-33-59-62_96b26121e545231a3c569311a54cda96.jpg
    320.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-11-19-20-34-31-87_96b26121e545231a3c569311a54cda96.jpg
    326.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-11-19-20-35-03-81_96b26121e545231a3c569311a54cda96.jpg
    307.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-11-19-20-34-31-87_96b26121e545231a3c569311a54cda96.jpg
    326.6 KB · Views: 4
Hamna kitu hapo, Putin wa watu kajichokea na vita hana cha kufanya zaidi ya kutishia nyau.
🇷🇺☢️ Russia has begun mass production of nuclear shelters!

Modular shelters "KUB-M" are more reminiscent of a cargo container, in which two dozen people can fit.

"The serial production of the innovative modular protective structure "KUB-M" has started in the Russian Federation. This event is the result of many years of research and efforts of scientists and experts in the field of protecting the population from emergency situations."
 

Attachments

  • IMG_20241119_214438.jpg
    94 KB · Views: 2
  • IMG_20241119_214502.jpg
    61.4 KB · Views: 2
Kwahiyo hizo shelter watakaa miaka hamsini bila kutoka, maana nuclear zikipigwa hadi huku mpitimbi tutafikiwa kwa namna moja au nyingine.
 
Mandonga kaanza huko
 
Huj
Hiyo ni mikwala tu anadhan hiyo nyuklia anayo yeye tu
Usiwe na kihereher elewa mleta mada na Russia wanavo design hujambiwa yy akirusha rlewa kwanza utakalia mb oo haijatoka ndan ya sure ali
 
Huj

Usiwe na kihereher elewa mleta mada na Russia wanavo design hujambiwa yy akirusha rlewa kwanza utakalia mb oo haijatoka ndan ya sure ali
Unawashwa nawewe k hilo unduchi lako? Unanuka nyaa
 
Putin ni mwendawazimu!! Yaani yeye aipige Ukraine na kila aina ya silaha, mpaka mji wake mkuu, halafu aitishie Ukraine kupiga ndani ya Russia!!

Putin ameishiwa mbinu, amebakia kitishia kwa makombora ya nukilia wakati nchi nyingi zinayo.

Wakati mtambo wa nuklia wa Chernobyl ulipolipuka na kuvujisha mionzi na kusababisha maelfu ya vifo vya warusi, ilishishindwa hata kudhibiti, ikasaidiwa na nchi ndogo kabisa, Sweden.

Urusi ikikosea tu ikatumia nuclear, itasababisha maafa makubwa kwa watu wake kuliko inaowashambulia. Tekinolojia za mrusi hazina tahadhari za kutosha za kiusalama.

How many total deaths did Chernobyl cause?

(It is this 4,000 figure from the 1986 conference's methodological debate that the IAEA cited as its rough estimate for 20 years before joining other United
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…