Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

Dah huwa naikubali sana diplomasia
 
Mpaka hapo bwana Zele atakuwa anajiandaa kusepa maana Ulaya na America Wameshindwa vita
 
NATO wamemsaidia sana Russia ni Nchi tajiri asingeweza kupigana bila msaada.

Ila Ukraine imemuaibisha Russia ambaye alikiwa Super power hadi kwenda kuomba msaada kwa Ayatolah.
.
Eeeh 😀😀😀
 
Anawa gharimu wananchi wake na Urusi sasa hana huruma.Halafu nafasi anayo ya kusitisha vita na kukubaliana na Putin, ila yy kakomaa.
Natamani Ukraine wapate mzalendo wa kweli mwenye kuijali nchi yake amalize hii vita
Chini ya zuzu anayeitwa Zelesky hakuna kusitisha mapigano
UN nao ni wale wale suruhisho analo lakini hawezi amua kama ufumbuzi ni kumwacha Russia atawale pale
 
Ni kweli wapo ila kiwiziwizi na urusi anawatandika kimya kimya tu. Ukraine anaomba msaada wa silaha na mabomu hali nimbaya mrusi kachafukwa.
Sasa NATO kama wapo wanasidia nini ikiwa Ukraine anaomba msaada wa silaha na mabomu?
Wapoje Kiwiziwizi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…