Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

Punguza jazba kidogo. Sijamtisha mtu. Nasema wewe ni mnafiki kujimwambafai wakati hatua hii haikuathiri moja kwa moja. Kwa mtu yoyote aliyefika zanzibar kipindi hiki cha corona anajua kabisa warusi ndio walikua wanasapoti sana sekta ya utalii visiwani.

kulikua na ndege za kukodi si chini ya 3 kila wiki zinaleta watalii....warusi walijaa pale unguja mpaka hata vijana wa zenji wakaanza kuongea kirusi. Hatua hii inaenda kuathiri mifuko yao moja kwa moja. Sisi huku bara wala hatutaathirika
Mimi Ni mmojawapo huku zenji niliepata athari ya hii ishu, Leo nimeingiza elfu 70 ndani ya siku 10 unless wakati Warusi wapo in 10 days nilikuwa natengeneza one milion kwa siku 10.
It hurts!
 
If the vaccine "cures",why force people to take it?surveil people using covid passports,covid apps etc?..Personal liberty is at stake here.
 
Masikiniiiii, daaaah, ndio ukomo wa akili zako hapo...? Niambie, wa- Ethiopia (Ethiopian airlines) ,wanatalii nchi gani kwa wingi?

Usishindanishe ndege zenu na Ethiopia airlines hakubali kua mumepata hasara
 
Usishindanishe ndege zenu na Ethiopia airlines hakubali kua mumepata hasara
Kipindi cha 2020 ambapo nchi nyingi duniani zilienda Lockdown, ni shirika gani la ndege halikupata hasara? Upate faida kwa kupaki ndege? Au ulitaka ndege zibebe kunguru?
 
Kipindi cha 2020 ambapo nchi nyingi duniani zilienda Lockdown, ni shirika gani la ndege halikupata hasara? Upate faida kwa kupaki ndege? Au ulitaka ndege zibebe kunguru?

How about 150 billion kwa miaka mitano iliopita[emoji3166]
 
Serikali ya Urusi imesema inapanga kusitisha huduma za anga kati ya Nchi hiyo na Tanzania kuanzia Aprili 15 hadi Juni 01, 2021 kutokana na hali ya mlipuko wa CoronaVirus

Serikali imesema itapitia upya zuio hilo ikiwa hali ya mlipuko itatengemaa. Mbali na Tanzania, Taifa hilo pia litasitisha huduma za anga kati yake na Uturuki katika tarehe hizo

Vyanzo:

=====

Russia is temporarily suspending regular and charter flights with Turkey, Moscow announced Monday.

The suspension over COVID-19 concerns will last from April 15 to June 1, said Deputy Prime Minister Tatyana Golikova.

Flights will resume if developments in the pandemic show a positive trend, she added, speaking at a video conference with other members of the government,

She also said travel agencies were recommended to halt sales of tours to Turkey and the East African country of Tanzania, where flights have also been suspended.

However, two regular flights per week between Istanbul and Moscow will continue service, from the Russian capital and then back again, she said.

Flight service home for Russian nationals working on the Akkuyu nuclear power plant project in the southern Turkish province of Mersin will also continue.

Russian authorities will closely follow the situation with COVID-19 in both Turkey and Tanzania and take steps as needed, she added.
pumbavu zao kabisa, kwanza tangu nianze kukua sijawahi ona urusi imeleta impact ya moja kwa moja katika maisha yangu
 
Naona jamaa wanamalizia watu wao...we'll miss you russians
Screenshot_2021-04-15-07-57-13-433_com.flightradar24free.jpg
 
How about 150 billion kwa miaka mitano iliopita[emoji3166]
Hasara hata KQ ya Kenya imekuwa ikipata kwa miaka ya nyuma kabla ya Corona, ila tambua, hasara inakuwa counter balanced na faida ambazo hazihesabiki katika mahesabu ya shirika, lakini multiplier effect zake katika uchumi wa taifa kwa ujumla una overcome specific losses za kampuni.Mfano Ndege zikaleta watalii kwa wingi zaidi kwa kuweka route ya moja kwa moja hadi Kilimanjaro badala ya watalii kupitia Nairobi, hivyo wakalala na kula Tz muda wote, hizo faida zinazoingia kwenye sekta za utalii hazihesabiwi kama faida katika vitabu vya shirika, lakini ni faida ya jumla ambayo tunapata kama taifa, na kwakuwa shirika ni mali ya taifa, hakuna shida.
 
Pathetic[emoji2213]
 
Effect kwa uchumi wa bara itakuwepo lakini ndogo sana ukilinganisha na znz. Znz utalii unachangia nadhani asilimia 60 kama sio zaidi kwenye uchumi wao..na kipindi hiki cha corona sio siri warusi ndio walikua wanainua sekta ya utalii..sasa wakizuiwa kuja effect yake itasikika sana zanzibar kuliko bara. Ila sio kwamba nafurahia hilo...ni very unfortunate na serikali ya muungano inabidi immediately ianze mazungumzo na serikali ya russia kuokoa hili jahazi.
Na amablo wengine humu hawaelewi, karibu 80% ya ajira zinazotokana na sector ya utalii Zanzibar ni za wabara. wengi wemanza kurudi makazini miezi ya karibuni, pakitokea kusimama kwa kazi tena watakaoathirika na wengi sana.
 
Mimi Ni mmojawapo huku zenji niliepata athari ya hii ishu, Leo nimeingiza elfu 70 ndani ya siku 10 unless wakati Warusi wapo in 10 days nilikuwa natengeneza one milion kwa siku 10.
It hurts!
Pole sana mkuu
 
Shida yako ni kubishana kwa vitu ambavyo unavijua ukweli wake pia ulkua na hamu ya kubishana tu sababu uzi huu na quote yangu haikua inahusiana na hizo ndege zenu
Kama unashindwa kwa hoja piga kimya hoja ipite, ni hayo tu, unless kama una hoja nyingine.
 
Back
Top Bottom