Handle
JF-Expert Member
- May 12, 2020
- 236
- 277
Kama unashindwa kwa hoja piga kimya hoja ipite, ni hayo tu, unless kama una hoja nyingine.
Acha ubishani mtoto wa kiume haipendezi watu tulkua tunaongea kuhusu ndege za urusi umekuja na mada tofaut peleka hoja zako bungeni huu uzi hauhusu hoja wala unachokibishia hata hizo ndege zipae Kila siku huna unachofaidika zaidi ya kupandishiwa kodi wewe unaeitwa mnyongwe[emoji16]