Nikiwa nje navaa.
Unaweza kusikia kesho kwamba kuna variant mpya ya Undengereko wasikotaka chanjo wala kupima imeingia miezi kadhaa iliyopita, haisikii chanjo yoyote.
Ukivaa barakoa unajikinga kwa layer nyingine.
Ni sawa na kujilinda kwa kufunga mlango na madirisha.
Huwezi kusema niko sehemu yenye wezi wengi, nifunge mlango tu, madirisha niache wazi, kwa sababu nishafunga mlango.
Watakuibia kwa kupitia kwenye madirisha.
Security in layers.
Unaweka firewall, halafu unaweka password, halafu unaweka multi-factor authentication, halafu hardware encryption, halafu una install updates, halafu unabadilisha passwords, halafu unakuwa na backups...
Ukifunga geti hiyo si sababu ya kuacha mlango wa mbele wazi.