pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
🤣🤣🤣🤣🤣 huku nakula matunda na hewa tu ila zikija ndege tanzania naziona zote zikipita hapa kuelekea international aitportwe upo uko burigi ndege ya urusi utaiona wapi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 huku nakula matunda na hewa tu ila zikija ndege tanzania naziona zote zikipita hapa kuelekea international aitportwe upo uko burigi ndege ya urusi utaiona wapi,
Effect kwa uchumi wa bara itakuwepo lakini ndogo sana ukilinganisha na znz. Znz utalii unachangia nadhani asilimia 60 kama sio zaidi kwenye uchumi wao..na kipindi hiki cha corona sio siri warusi ndio walikua wanainua sekta ya utalii..sasa wakizuiwa kuja effect yake itasikika sana zanzibar kuliko bara. Ila sio kwamba nafurahia hilo...ni very unfortunate na serikali ya muungano inabidi immediately ianze mazungumzo na serikali ya russia kuokoa hili jahazi.Mfuko wa mtalii wa Zanzibar uathirike then mamlaka ya utalii Tanzania bara ibaki bila doa, hata la kusingiziwa???
Too funny!!! Almost unbelievable!!
Mkuu ushawahi kusafiri nje ya nchi? Kama huna Ile kadi ya kuonesha unachanjo ya homa ya manjano hata hapo Namanga tu hupiti.Homa ya manjano unachanjwa? Utofauti ni kuwa homa ya manjano ukipima ukakutwa hauna unapewa certificate.
Ila corona uwe nayo Usiwe nayo unapigwa chanjo
Katazo la barakoa lilitolewa na Magufuli kanisani St. Peters.We umekatazwa kuvaa barakoa ? Lini hilo katazo limetolewa? Nenda Kenya ukachanjwe
Ulishawahi kuona mtu alievaa barakoa nchi hii kapelekwa mahakamani kwa kosa la kuvaa barakoa? Kama umeshachanjwa, unataka nini sasa? Si upo salama tayari?Katazo la barakoa lilitolewa na Magufuli kanisani St. Peters.
Sasa Magufuli kafa tuna rais mpya, ndiyo maana nauliza msimamo wa rais mpya, bado anakataza barakoa?
Kuhusu chanjo mimi nilishachanjwa Marekani chanjo zote mbili za Pfizer. Nimemaliza chanjo ya pili kama wiki mbili zilizopita.
Nimeuliza msimamo wa rais mpya kwa kujali afya za Watanzania zaidi ya milioni 60, si kwa sababu ya afya yangu.
Mimi nimemaliza chanjo mbili zaidi ya wiki mbili zilizopita, shughuli zangu nafanyia nyumbani hata kutoka nje ni kwa kuamua mwenyewe. Hata shopping nafanya sana Amazon.com wananitumia vitu vyao mpaka mlangoni.
Swali langu linahusu ndugu zangu walioko Tanzania zaidi kwani nimepata habari za misiba mingi na nyingine bado zinakuja tu.
Hujajibu swali nililouliza na ulichojibu sijakuuliza.
Si lazima mtu kupelekwa mahakamani.Ulishawahi kuona mtu alievaa barakoa nchi hii kapelekwa mahakamani kwa kosa la kuvaa barakoa? Kama umeshachanjwa, unataka nini sasa? Si upo salama tayari?
Tatizo si pesa, kwa sababu, kuna chanjo za COVAX zinatolewa bure nchi nyingi za Afrika wameshapata.Urusi wanataka tununue chanjo yao na wasije tu hatuna pesa za kuchezea
Sasa kama unaona aibu si wewe na utashi wako, vaa barakoa, hakuna atakaekuja kukuvua au kukushtaki.Si lazima mtu kupelekwa mahakamani.
Kuna Mzee mmoja anaheshimika sana Tanzania, alinieleza kwamba anapata tabu sana kuvaa barakoa in public kwa sababu rais kakataza, akivaa barakoa yeye anaona watu wanamtazama kwa jicho la "kwa nini unavaa barakoa wewe, unatuletea Corona hapa?".
Viongozi wana kazi ya kuwaelimisha watu umuhimu wa kuvaa barakoa, kwetu viongozi kama Magufuli walikuwa mstari wa mbele kupinga kuvaa barakoa.
Ndiyo maana nikauliza, rais mpya ana msimamo gani kuhusu hili?
Hujajibu swali.
Umeniuliza swali ambalo nishalijibu.
Nimesema mimi nimeshachanjwa, nauliza kwa kujali afya ya Watanzania wengi ambao hawana access ya kuchanjwa.
Halafu bado unaniuliza "kama umeshachanjwa unataka nini sasa?".
Inabidi nikuulize na wewe.
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Una tatizo gani? Una hila mahususi na ajenda za kipropaganda au tatizo lako ni ujinga wa kawaida tu wa kutojua kusoma kwa ufahamu?
Wapi nimesema naona aibu? Mimi hata nje kutoka nadra.Sasa kama unaona aibu si wewe na utashi wako, vaa barakoa, hakuna atakaekuja kukuvua au kukushtaki.
Ngoja tusubiri.Ushazoea eehh? Waulize zanzibar ambao ndio wataumia sana na hii hatua ya urusi. Maana zenji warusi ndio walikua watalii wengi
Basi wazenji wachanjwe.Na zanzibar ndio wanaenda kuathirika na huu uamuzi. Warusi ndio wamesapoti sana utalii wa znz kipindi hiki cha corona..walijaa sana pale unguja
Hata bongo tutaathirika. Hao watalii wakifika huko zenji, walikuwa wanaenda na maeneo mengine kama arusha na serengeti. Sekta zingine za bara kama usafiri wa anga zitaathirika pia.Na zanzibar ndio wanaenda kuathirika na huu uamuzi. Warusi ndio wamesapoti sana utalii wa znz kipindi hiki cha corona..walijaa sana pale unguja
Jambo ulisilolijua ni kwamba Russia na Poland ndo nchi pekee zilizokuwa zinaruhusu raia wake kusafiri kuja Tanzania, na warusi waliboost sana utalii Zanzibar tangu mwezi 11 mpaka mwezi wa nne mwanzoniWaende zao tu tushazoea vitisho vya hivyo.
Nadhani wewe kusoma kwa ufahamu ni shida, ninaposema kuona aibu kwani nimemaanisha wewe necessarily? Kikubwa na cha msingi, vaa barakoa hujazuiwa, halikadhalika na wengine wote wanaohisi wanahaja ya kuvaa, wavae, hawatakamatwa au kuvuliwa, kuhusu chanjo, leo marekani wamepiga marufuku chanjo ya Johnson & Johnson kutokana na kugandisha watu damu, hence uamuzi wetu wa kuendelea kusubiri hadi tutakapojiridhisha. In the mean time, wote wenye kuona haja ya kuchanjwa, wakachanjwe Kenya, sasa sijui mnataka nini...!Wapi nimesema naona aibu? Mimi hata nje kutoka nadra.
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Magufuli was wrong, very wrong in mask-shaming people.Si lazima mtu kupelekwa mahakamani.
Kuna Mzee mmoja anaheshimika sana Tanzania, alinieleza kwamba anapata tabu sana kuvaa barakoa in public kwa sababu rais kakataza, akivaa barakoa yeye anaona watu wanamtazama kwa jicho la "kwa nini unavaa barakoa wewe, unatuletea Corona hapa?".
Viongozi wana kazi ya kuwaelimisha watu umuhimu wa kuvaa barakoa, kwetu viongozi kama Magufuli walikuwa mstari wa mbele kupinga kuvaa barakoa.
Ndiyo maana nikauliza, rais mpya ana msimamo gani kuhusu hili?
Hujajibu swali.
Umeniuliza swali ambalo nishalijibu.
Nimesema mimi nimeshachanjwa, nauliza kwa kujali afya ya Watanzania wengi ambao hawana access ya kuchanjwa.
Halafu bado unaniuliza "kama umeshachanjwa unataka nini sasa?".
Inabidi nikuulize na wewe.
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Una tatizo gani? Una hila mahususi na ajenda za kipropaganda au tatizo lako ni ujinga wa kawaida tu wa kutojua kusoma kwa ufahamu?
Rais anapowaandama wavaa barakoa, jamii ambayo inamsikiliza sana rais kama Tanzania inawaona wavaa barakoa watu wabaya, wanampinga rais.Nadhani wewe kusoma kwa ufahamu ni shida, ninaposema kuona aibu kwani nimemaanisha wewe necessarily? Kikubwa na cha msingi, vaa barakoa hujazuiwa, halikadhalika na wengine wote wanaohisi wanahaja ya kuvaa, wavae, hawatakamatwa au kuvuliwa, kuhusu chanjo, leo marekani wamepiga marufuku chanjo ya Johnson & Johnson kutokana na kugandisha watu damu, hence uamuzi wetu wa kuendelea kusubiri hadi tutakapojiridhisha. In the mean time, wote wenye kuona haja ya kuchanjwa, wakachanjwe Kenya, sasa sijui mnataka nini...!
Nashangaa kuona watu wengine wanajifanya hawaoni haya mambo.Magufuli was wrong, very wrong in mask-shaming people.
Reaction aliyokuwa anaipata au anayoipata huyo mzee can be directly ascribed to his public mask- shaming of people who chose to wear them.
Magufuli hakuwa anazingatia unyeti wa nafasi yake au cheo alichokuwa nacho katika kupima maneno yake.
Hata Donald Trump didn’t mask-shame people. He told people if they wanted to wear them or if they made them feel safe, it was up to them to make the choice of wearing them or not.