Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

Mimi Ni mmojawapo huku zenji niliepata athari ya hii ishu, Leo nimeingiza elfu 70 ndani ya siku 10 unless wakati Warusi wapo in 10 days nilikuwa natengeneza one milion kwa siku 10.
It hurts!
 
If the vaccine "cures",why force people to take it?surveil people using covid passports,covid apps etc?..Personal liberty is at stake here.
 
Masikiniiiii, daaaah, ndio ukomo wa akili zako hapo...? Niambie, wa- Ethiopia (Ethiopian airlines) ,wanatalii nchi gani kwa wingi?

Usishindanishe ndege zenu na Ethiopia airlines hakubali kua mumepata hasara
 
Usishindanishe ndege zenu na Ethiopia airlines hakubali kua mumepata hasara
Kipindi cha 2020 ambapo nchi nyingi duniani zilienda Lockdown, ni shirika gani la ndege halikupata hasara? Upate faida kwa kupaki ndege? Au ulitaka ndege zibebe kunguru?
 
Kipindi cha 2020 ambapo nchi nyingi duniani zilienda Lockdown, ni shirika gani la ndege halikupata hasara? Upate faida kwa kupaki ndege? Au ulitaka ndege zibebe kunguru?

How about 150 billion kwa miaka mitano iliopita[emoji3166]
 
pumbavu zao kabisa, kwanza tangu nianze kukua sijawahi ona urusi imeleta impact ya moja kwa moja katika maisha yangu
 
How about 150 billion kwa miaka mitano iliopita[emoji3166]
Hasara hata KQ ya Kenya imekuwa ikipata kwa miaka ya nyuma kabla ya Corona, ila tambua, hasara inakuwa counter balanced na faida ambazo hazihesabiki katika mahesabu ya shirika, lakini multiplier effect zake katika uchumi wa taifa kwa ujumla una overcome specific losses za kampuni.Mfano Ndege zikaleta watalii kwa wingi zaidi kwa kuweka route ya moja kwa moja hadi Kilimanjaro badala ya watalii kupitia Nairobi, hivyo wakalala na kula Tz muda wote, hizo faida zinazoingia kwenye sekta za utalii hazihesabiwi kama faida katika vitabu vya shirika, lakini ni faida ya jumla ambayo tunapata kama taifa, na kwakuwa shirika ni mali ya taifa, hakuna shida.
 
Pathetic[emoji2213]
 
Na amablo wengine humu hawaelewi, karibu 80% ya ajira zinazotokana na sector ya utalii Zanzibar ni za wabara. wengi wemanza kurudi makazini miezi ya karibuni, pakitokea kusimama kwa kazi tena watakaoathirika na wengi sana.
 
Mimi Ni mmojawapo huku zenji niliepata athari ya hii ishu, Leo nimeingiza elfu 70 ndani ya siku 10 unless wakati Warusi wapo in 10 days nilikuwa natengeneza one milion kwa siku 10.
It hurts!
Pole sana mkuu
 
Shida yako ni kubishana kwa vitu ambavyo unavijua ukweli wake pia ulkua na hamu ya kubishana tu sababu uzi huu na quote yangu haikua inahusiana na hizo ndege zenu
Kama unashindwa kwa hoja piga kimya hoja ipite, ni hayo tu, unless kama una hoja nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…