Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

Kaona mziki wa Ukraine ni mzito sasa kahamia kwenye silaha za aina hiyo na hapo anatamani hata atumie nyuklia ila anashindwa.
 
Kwa hiyo Marekani wakisoma hili andiko lako watakasirika nao watoe silaha zao wakapambane na Mrusi?.
 
Ukiona mrusi amelazimika kutumia mabomu kama haya ni wazi ameshindwa vita., na usikae mbali atajibiwa vigorously,

Haya ni mabomu ya maangamizi ambayo hupigwa kutoka nchi na nchi au kutoka bara moja hadi bara jengine yenye mfano wa nuclear

Ni wazi vita ya kawaida ameshindwa putini aliyekuwa akisifika na kupambwa ni kila uchao, ngoma bado mbichi, stay tuned..,
Kwa alitengeneza yakae stoo ?ameshindwa

Au mlikubaliana siraha za kutumia kuna watu wehu sana
 
Sasa vita imeisha ameshinda baada ya kutumia hilo bomu, au ilikuwa taarifa tu.
 
Kwa Mara ya kwanza Russia wametumia KINZHAL HYPERSONIC missile Nchi Ukraine na Ni kwa Mara ya kwanza siraha ya aina hii kutumika duniani.
Urusi wametumia siraha hii kushambulia mabomu na makombora yaliyokuwa yamefichwa chini ya ardhi huko Magharibi mwa UKRAINE kwenye Kijiji Cha Deliatyn kwenye eneo la Ivano-Frankivsk alithibitisha waziri waulinzi wa Urusi, Huku ikiwa karibu na mpaka wa Romania moja ya washirika wa NATO.

Kwa muda Sasa tangu Vita ianze Urusi imekuwa ikitumia siraha kwa asilimia kubwa zilizoundwa kipindi Cha usovieti (Soviet era).

Ikumbukwe Urusi ndyo nchi pekee iliyofanikiwa kuwa na siraha hizi, China na Marekani zikiwa mbioni kufanikisha uundaji wa siraha hizo(zikiwa Bado kwenye majaribio), zenye ufanisi mkubwa Huku Kasi yake ikiwa Mara 6-10 zaidi ya Kasi ya sauti (sound speed) hivyo kufanya kutodhibitika na aina yoyote ya kiulinzi angani (air defense system) or (anti-aircraft systems) zilizopo duniani kwa Sasa.
View attachment 2157516View attachment 2157517View attachment 2157518View attachment 2157520
View attachment 2157528
Kuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.

Kwa wataalamu wa mambo mrusi kaanza kusihishiwa..hivyo ameanza kupuyanga aliyotegemea ndivyo sivyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukiona mrusi amelazimika kutumia mabomu kama haya ni wazi ameshindwa vita., na usikae mbali atajibiwa vigorously,

Haya ni mabomu ya maangamizi ambayo hupigwa kutoka nchi na nchi au kutoka bara moja hadi bara jengine yenye mfano wa nuclear

Ni wazi vita ya kawaida ameshindwa putini aliyekuwa akisifika na kupambwa ni kila uchao, ngoma bado mbichi, stay tuned..,

Unaonaje mmarekani na israel wakijitokeza kumsaidia ukraine?
 
Kuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.

Kwa wataalamu wa mambo mrusi kaanza kusihishiwa..hivyo ameanza kupuyanga aliyotegemea ndivyo sivyo.

#MaendeleoHayanaChama
Only for Western media oriented people since then believe Russia has or would loose the war,
But in reality watu wanaendelea kupukutika kwa Kasi and if they continue UKRAINE is going to be next Syria walichofanya Urusi nikujaribisha siraha Yao mpya in actual war/so called military operation, what I see is unprecedented destruction of UKRAINE if Russia will continue to use the newly established deadly technology.
 
Kuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.

Kwa wataalamu wa mambo mrusi kaanza kusihishiwa..hivyo ameanza kupuyanga aliyotegemea ndivyo sivyo.

#MaendeleoHayanaChama
Si mnawapelekea misaada ya silaha hao jamaaa........na leo tena katungua kambi nyingine ya hao wanaokuja kuwasaidia ukraine........................wanavyoongeza nguvu na mrusi ndo anvyozidi kuwatandika na silaha kali zaidi
 
Kuyapiga haya mabomu, utaua na watu waliokua Askari wake. Na pia ameshajitengenezea uasi mkubwa kwa watu wa Ukraine. Kwa iyo hata akiichukua Ukraine. Kutakuwa na machafuko mengi sana

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Marekani alimtandika Japan nuclear na akaua malaki ya watu pamoja na effects lkn sasa hivi ni marafiki wakubwa....yaani ni zaidi ya marafiki.
Ujerumani ilichinja zaidi ya jews 6M..saizi life as usual...
 
Back
Top Bottom