Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukraine ni nchi ya pili kwa ukubwa baada ya Russia katika bara la UlayaHalafu anashambulia nchi ndogo aliyojitia ndani ya siku Tatu anaitwaa!!
Mrusi kachanganyikiwa
It is up to Russian defense wanaamua wanalotakaHayo maandaki zilikofichwa silaha kulihitajika silaha kali kama hiyo kuyabomoa na kuzifikia
Kwa alitengeneza yakae stoo ?ameshindwaUkiona mrusi amelazimika kutumia mabomu kama haya ni wazi ameshindwa vita., na usikae mbali atajibiwa vigorously,
Haya ni mabomu ya maangamizi ambayo hupigwa kutoka nchi na nchi au kutoka bara moja hadi bara jengine yenye mfano wa nuclear
Ni wazi vita ya kawaida ameshindwa putini aliyekuwa akisifika na kupambwa ni kila uchao, ngoma bado mbichi, stay tuned..,
The only country that can dare to make US loose it's sleepSafi sana... Go - Russia...
Hakika...The only country that can dare to make US loose it's sleep
Kuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.Kwa Mara ya kwanza Russia wametumia KINZHAL HYPERSONIC missile Nchi Ukraine na Ni kwa Mara ya kwanza siraha ya aina hii kutumika duniani.
Urusi wametumia siraha hii kushambulia mabomu na makombora yaliyokuwa yamefichwa chini ya ardhi huko Magharibi mwa UKRAINE kwenye Kijiji Cha Deliatyn kwenye eneo la Ivano-Frankivsk alithibitisha waziri waulinzi wa Urusi, Huku ikiwa karibu na mpaka wa Romania moja ya washirika wa NATO.
Kwa muda Sasa tangu Vita ianze Urusi imekuwa ikitumia siraha kwa asilimia kubwa zilizoundwa kipindi Cha usovieti (Soviet era).
Ikumbukwe Urusi ndyo nchi pekee iliyofanikiwa kuwa na siraha hizi, China na Marekani zikiwa mbioni kufanikisha uundaji wa siraha hizo(zikiwa Bado kwenye majaribio), zenye ufanisi mkubwa Huku Kasi yake ikiwa Mara 6-10 zaidi ya Kasi ya sauti (sound speed) hivyo kufanya kutodhibitika na aina yoyote ya kiulinzi angani (air defense system) or (anti-aircraft systems) zilizopo duniani kwa Sasa.
View attachment 2157516View attachment 2157517View attachment 2157518View attachment 2157520
View attachment 2157528
Ukiona mrusi amelazimika kutumia mabomu kama haya ni wazi ameshindwa vita., na usikae mbali atajibiwa vigorously,
Haya ni mabomu ya maangamizi ambayo hupigwa kutoka nchi na nchi au kutoka bara moja hadi bara jengine yenye mfano wa nuclear
Ni wazi vita ya kawaida ameshindwa putini aliyekuwa akisifika na kupambwa ni kila uchao, ngoma bado mbichi, stay tuned..,
Only for Western media oriented people since then believe Russia has or would loose the war,Kuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.
Kwa wataalamu wa mambo mrusi kaanza kusihishiwa..hivyo ameanza kupuyanga aliyotegemea ndivyo sivyo.
#MaendeleoHayanaChama
Si mnawapelekea misaada ya silaha hao jamaaa........na leo tena katungua kambi nyingine ya hao wanaokuja kuwasaidia ukraine........................wanavyoongeza nguvu na mrusi ndo anvyozidi kuwatandika na silaha kali zaidiKuna kitu kinaitwa save the best for the last..manake sasa ameanza kutoa alichokuwa anakitegemea katika mapambano baada ya kushindwa..zikisha hizo atageukia nyukria ama biological ama chemical.
Kwa wataalamu wa mambo mrusi kaanza kusihishiwa..hivyo ameanza kupuyanga aliyotegemea ndivyo sivyo.
#MaendeleoHayanaChama
Well said.Si mnawapelekea misaada ya silaha hao jamaaa........na leo tena katungua kambi nyingine ya hao wanaokuja kuwasaidia ukraine........................wanavyoongeza nguvu na mrusi ndo anvyozidi kuwatandika na silaha kali zaidi
Marekani alimtandika Japan nuclear na akaua malaki ya watu pamoja na effects lkn sasa hivi ni marafiki wakubwa....yaani ni zaidi ya marafiki.Kuyapiga haya mabomu, utaua na watu waliokua Askari wake. Na pia ameshajitengenezea uasi mkubwa kwa watu wa Ukraine. Kwa iyo hata akiichukua Ukraine. Kutakuwa na machafuko mengi sana
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kila silaha hutumika kulingana na target na mazingira yanayozunguka targetNchi dhaifu hivyo ameanza kutuma vitu vikali hivyo? Anaweza kudondosha nuclear huyu Ukraine.. wakae mkao wa kula