Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

Mkuu huyu sio Idd amini Dada
 
Mkuu huyu sio Idd amini Dada
Kwani ana tofauti gani na Idd Amin. Wewe kama rika langu unaweza kukumbuka jinsi nchi ilivyobaki bankrupt na tukazidi kusonga mbele. Huyu ana uchu ule ule ila yeye anazidi.
 
Kwani ana tofauti gani na Idd Amin. Wewe kama rika langu unaweza kukumbuka jinsi nchi ilivyobaki bankrupt na tukazidi kusonga mbele. Huyu ana uchu ule ule ila yeye anazidi.
Endelea kumuandalia chakula mumeo
 
NATO imejiandaa kuwaua kama wao walipojiandaa kuwaua waukraine , uhai wao hauna thaman kuzid uhai wa wengine , usipothamini uhai wa wengine hata wako hautathaminika
 
NATO imejiandaa kuwaua kama wao walipojiandaa kuwaua waukraine , uhai wao hauna thaman kuzid uhai wa wengine , usipothamini uhai wa wengine hata wako hautathaminika
Aliyejiandaa atakuwa keshaenda uwanjani maana Russia yupo uwanjani wengine wanabwekea makwao
 
Putin kachanganyikiwa sana, ujamaaa umemuasiri pamoja na kuzaliwa ktk umasikini, umeharibu akili yake. Anafikiri kila mwanaume aliyezaliwa Russia ni mpiganaji na mjamaa kama yeye. Mbona wale watoto wake wa kike kawaficha wasiuliwe

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hii mikoa bado inakalika moja kwa moja ?
MK254 dudus Jackal HIMARS
 
Hii mikoa bado inakalika moja kwa moja ?
MK254 dudus Jackal HIMARS
Wakati Pro Russia wanabwabwaja hawana points zenye mashiko kwa sasa ,Majeshi ya ukombozi ya Ukraine yanaendelea kuirudisha miji na vijiji vyao toka mikononi mwa wavamizi/Russians.Huku wakipokelewa kwa furaha na wananchi wa maeneo hayo 🤔
.......

Putin hana jipya zaidi anapeleka watoto wa watu kufia vitani wakati yeye anajificha kwenya mahandaki.Angepeleka na watoto wake wa kuwazaa vitani🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…