EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #141
Wapuuzi waliooshwa akili na wazunguYupo aliye sema mrusi kapoteza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi waliooshwa akili na wazunguYupo aliye sema mrusi kapoteza
Ndugu yangu, bwana wee wanakuambia kaishiwa askari anazoa, kwani Urusi na Putin si ndo anawapusua kichwa sasa kama kaishiwa wanasubiri nn kumtandika mapema tu wakamaliza matatizo haya yanayowasumbua?Sawa kazoa watu wa mtaani sasa mbona anawaendesha nyie ambao ni trained expert soldiers? Hujiulizi au unajitoa ufahamu
Ndiomana nasema huna akili wanapovamia nchi huru na kuangusha serikali halali kwa maslahi yao, ni ndani ya MIPAKA yao???Pumba tupu. Kuna sehemu ya Libya iliyomegwa kuwa ni sehemu ya asili ya NATO
Si mliyakomboa maeneo....kura naona zinapigwa urusi sio UkraineMaeneo yanakombolewa tu, usiwe na wasiwas jeshi la Ukraine linazidi ku- advance pande zote
Kaa kwa kutulia
Nimewauliza naona wanarukaruka kama bisiNdugu yangu, bwana wee wanakuambia kaishiwa askari anazoa, kwani Urusi na Putin si ndo anawapusua kichwa sasa kama kaishiwa wanasubiri nn kumtandika mapema tu wakamaliza matatizo haya yanayowasumbua?
Hakuna mali za maana kwanini waliuteka?? hatimae wakatelekeza hadi mitambo yao na kutimua mbioHuto ni tuvijiji na hakuka mali za maana huko
Mkuu; Tujikite kwenye hili linaloendelea sasa kwa Mrussi. Ukraine ni Taifa linalotambulika kimataifa na kwa hiyo lina geographical position - mipaka yake. Ndani ya Mipaka ya Ukraine utaikuta Crimea, Donbas, Luhansk n.k.Sifa zoooote ulizozitaja ni za US na NATO. Urusi kafitinisha nchi gani zaidi ya kulinda maslahi yake tena kwa majirani zake ambao mwanzo walikuwa chini ya USSR. NATO kule Syria, Afghan, Iraq, Libya, Congo, Liberia, Somalia orodha ni ndeeefu wamefitinisha na kuanzisha vita kwa maslahi yao.
Uahawahi kuiona Russia nje ya majirani zake?
Pale Syria anapambana na.manyang'anyi yanayokata kumuondoa Assad yapore mafuta na gesi
Mkuu; Mali za maana kivita huwa ni zipi?? Mbona huko ndiko Mbabe aliweka base kubwa ya jeshi na ndiko kuna visima vikubwa vya mafuta vya nchi ya Ukraine n.k.??Huto ni tuvijiji na hakuka mali za maana huko
Mnabaki na hizo stori za kulishwa kwani si mlidai Kherson mmeikomboa leo watu wanapiga kura kwa amaaaaani kabisa kwanini hampo hapo kukinukisha?😂😂😂😂Hakuna mali za maana kwanini waliuteka?? hatimae wakatelekeza hadi mitambo yao na kutimua mbio
Nimemjibu kutokana na alichouliza.mchangiaji.Mkuu; Tujikite kwenye hili linaloendelea sasa kwa Mrussi. Ukraine ni Taifa linalotambulika kimataifa na kwa hiyo lina geographical position - mipaka yake. Ndani ya Mipaka ya Ukraine utaikuta Crimea, Donbas, Luhansk n.k.
Mrussi kwa kutokana na kwamba mikoa hiyo ni ya mpakani na waanaoishi humo wanazungumza kirussi, kaamua kuanzisha mgogoro kwa kupenyeza ushawishi kwa watu hao na kuunda magenge-vita ili wajitenge na Ukraine hata kabla ya 2014. Hadi sasa hilo limekuwa ni mgogoro mkubwa na limepelekea Mrussi kuingiza majeshi yake Ukraine na hiyo ndo ni vita inayoendelea hadi kuhusisha Mataifa mengine.
Mkuu; Mali za maana kivita huwa ni zipi?? Mbona huko ndiko Mbabe aliweka base kubwa ya jeshi na ndiko kuna visima vikubwa vya mafuta vya nchi ya Ukraine n.k.??
Mkuu Einstein2 kumbuka kwamba mwanajeshi anayetekeleza kazi yake kwa weledi husikiliza au hupokea amri kutoka kwa kiongozi wake. Kiongozi wa Wanajeshi wa Ukraine alishaagiza Usipige,Usiue, wala Usidhuru mali isiyohusika na vita. Hilo lipo hata kwenye Taratibu za Vita Kimataifa. Lakini ona jinsi Mbabe wako anavyochoma moto mashamba na anavyoua hadi ng'ombe za wafugaji ...... ni ukiukaji wa Sheria lakini zaidi ni AIBU na ni LAANA kwa Mrussi wako.Mnabaki na hizo stori za kulishwa kwani si mlidai Kherson mmeikomboa leo watu wanapiga kura kwa amaaaaani kabisa kwanini hampo hapo kukinukisha?😂😂😂😂
Imeisha hiooMkuu Einstein2 kumbuka kwamba mwanajeshi anayetekeleza kazi yake kwa weledi husikiliza au hupokea amri kutoka kwa kiongozi wake. Kiongozi wa Wanajeshi wa Ukraine alishaagiza Usipige,Usiue, wala Usidhuru mali isiyohusika na vita. Hilo lipo hata kwenye Taratibu za Vita Kimataifa. Lakini ona jinsi Mbabe wako anavyochoma moto mashamba na anavyoua hadi ng'ombe za wafugaji ...... ni ukiukaji wa Sheria lakini zaidi ni AIBU na ni LAANA kwa Mrussi wako.
Kwamujibu wa PUT IN acc to DW kasema raia wote ambao wanauwezo ama mafunzo maalum ya kijeshi......"Amesema kuwa raia wote ambao watakusnywa watakuwa na hadhi kamili ya jeshi."
Umeelewa?
Mkuu kura ni kwa miji ambayo bado russia wanaishikilia huko Donbas ambayo wanaume wako kazini kumalizia, Luhansky rasmi kazi imeanza watamalizia na Crimea, ni vile Mrusi atakufa kwa aibuMnabaki na hizo stori za kulishwa kwani si mlidai Kherson mmeikomboa leo watu wanapiga kura kwa amaaaaani kabisa kwanini hampo hapo kukinukisha?😂😂😂😂
Basi mungewaambia na west wafanye haya mnayo yasema kwa COSOVO dhidi ya SERBIAAchga kuleta mawazo Mgando hapa; hakuna eneo la asili ya watu fulani katika dunia ya leo. Kuna mipaka ya kimataifa inayojulikana halafu watu wanaweza kuhamia popote wanapotaka wao wenyewe. Kama hao watu wa asili ya Urusi hawataki kuwa kwenye himaya ya Ukraine basi wahamie urusi, siyo kulazimisha kumega mipaka ya ukraine.
Huyu Putin kaishiwa sasa anaanza kutapatapa. Ngoja tusubiri ataishiwa wapi. Kutoka special military operation sasa sijui anakwenda wapi.
UNATO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Miezi 6 keshachoma wanajeshi 150,000+ wafungwa+wagner+wakujitolea
Sasa analeta wengine tena kutengeneza mafuta
Ripoti ya haki za binadam ya UN ilitoa ripoti kwamba majeshi ya UKRAINE yanaua nakutesa RAIAMkuu Einstein2 kumbuka kwamba mwanajeshi anayetekeleza kazi yake kwa weledi husikiliza au hupokea amri kutoka kwa kiongozi wake. Kiongozi wa Wanajeshi wa Ukraine alishaagiza Usipige,Usiue, wala Usidhuru mali isiyohusika na vita. Hilo lipo hata kwenye Taratibu za Vita Kimataifa. Lakini ona jinsi Mbabe wako anavyochoma moto mashamba na anavyoua hadi ng'ombe za wafugaji ...... ni ukiukaji wa Sheria lakini zaidi ni AIBU na ni LAANA kwa Mrussi wako.
Hahahaha 😂🤣😅 huyu jamaa yako Putin ni mkorofi Sana aiseeBabu msalimia vivuli anaendeleaje?