hayo maeneo yamepiga kura lini?
mkuu nadhani ni sahihi kuchambua haya mambo bila kuwa na ushabiki, jipe muda urejee historia namna gorgia na crimea alivofanya,....huu ndio mtindo mrusi huutumia,
umejiuliza ni kwanini crimea haijashambuliwa licha ya zele kudai ni eneo lake?,
nikupe tu kitu cha kukufikirisha, kuanzia sasa, na baada ya kura kupigwa na hatimaye matokeo kutolewa, naomba uanze kufuatilia mienendo ya ujerumani na ufaransa......... crimea ilikua hivi hivi, labda kama hukufuatilia kipindi hicho