kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Special epereshen imemfanya Putin mpaka anapata choo kigumu [emoji12][emoji2][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niliwashangaa mabeberu wa NATo na wale wa ukraine wa buza kuwa wamemshinda mrusi na kuyateka maeneo yayoyachukua awali Kwa walichokiita lighting fast counteroffensive kumbe Mwamba anawachora TU,na watashanga Donmbas yote inavyoondoka na Bado wakileta jeuri ,Mwamba avuke nje ya Donmbas🤔Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi - kulingana na shirika la habari linalomilikiwa na serikali TASS.
Anasema kuwa nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa lengo lake ni kuiangamiza Urusi na kwamba zimejaribu kuwageuza watu wa Ukraine kuingia kwenye vita kwa lazima.
Lengo letu ni kuikomboa Donbas, anasema.
Rais Putin anasema nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa hazitaki amani kati ya Ukraine na Urusi.
Putin pia anasema kuwa atatoa hadhi ya kisheria kwa ‘’wanaojitolea’’ wanaopigana huko Donbas.
Putin ametangaza kuwa kuanzia leo ni muhimu kuchukua uamuzi wa haraka ili kulinda watu katika ‘’ardhi zilizokombolewa’’.
“Ndiyo maana niliiomba wizara ya ulinzi kukusanya jeshi kwa ajili ya vita,” anasema.
Amesema agizo hilo tayari limetiwa saini na linaanza kutekelezwa leo.
Amesema kuwa raia wote ambao watakusnywa watakuwa na hadhi kamili ya jeshi.
Putin ameongeza kuwa nchi za Magharibi zimekuwa zikiichafua Urusi lakini Urusi ina silaha nyingi za kujibu.
“Tutatumia rasilimali zote tulizonazo kuwatetea watu wetu,” anasema.
‘’Nina imani na msaada wako,’’ anahitimisha.
==============
Ikumbukwe mikoa anayoikalia ndio yenye utajiri wa viwanda, gesi, madini na mashamba ya Ngano.
Ukraine amepoteza pakubwa sana. Sasa ni mwendo wa kulinda alichojitwalia
#chanzobbcswahili
#StarTvUpdate
View attachment 2363393
Story za kuambiwa na westerners😀😀😀😀Majenerali zaidi ya 22 wamelambishwa mchanga..,
Alafu eti jeshi limewekwa akiba.. kweli comedian zelensiky amejua kuwachakaza [emoji2]
Huyo Dogo Yuko chimbo,hajui hata kipindi Gani kinaendelea kule darasani,anaandika baada ya story za chimbo🏃🏃Unateseka ukiwa wapi dogo andika notisi mwalimu atafuta ubao 😄😄😄
Huyu mzee vita hii ilishanshinda, anatisha watu tu. Si apige tu maana yeye ndo alivamia analalamikia nini?Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi - kulingana na shirika la habari linalomilikiwa na serikali TASS.
Anasema kuwa nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa lengo lake ni kuiangamiza Urusi na kwamba zimejaribu kuwageuza watu wa Ukraine kuingia kwenye vita kwa lazima.
Lengo letu ni kuikomboa Donbas, anasema.
Rais Putin anasema nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa hazitaki amani kati ya Ukraine na Urusi.
Putin pia anasema kuwa atatoa hadhi ya kisheria kwa ‘’wanaojitolea’’ wanaopigana huko Donbas.
Putin ametangaza kuwa kuanzia leo ni muhimu kuchukua uamuzi wa haraka ili kulinda watu katika ‘’ardhi zilizokombolewa’’.
“Ndiyo maana niliiomba wizara ya ulinzi kukusanya jeshi kwa ajili ya vita,” anasema.
Amesema agizo hilo tayari limetiwa saini na linaanza kutekelezwa leo.
Amesema kuwa raia wote ambao watakusnywa watakuwa na hadhi kamili ya jeshi.
Putin ameongeza kuwa nchi za Magharibi zimekuwa zikiichafua Urusi lakini Urusi ina silaha nyingi za kujibu.
“Tutatumia rasilimali zote tulizonazo kuwatetea watu wetu,” anasema.
‘’Nina imani na msaada wako,’’ anahitimisha.
==============
Ikumbukwe mikoa anayoikalia ndio yenye utajiri wa viwanda, gesi, madini na mashamba ya Ngano.
Ukraine amepoteza pakubwa sana. Sasa ni mwendo wa kulinda alichojitwalia
#chanzobbcswahili
#StarTvUpdate
View attachment 2363393
Risasi na HIMARS hazitambui hadhi ya kijeshi.Anasema atawapa hadhi ya kijeshi😅
......"Amesema kuwa raia wote ambao watakusnywa watakuwa na hadhi kamili ya jeshi."Hakuna raia atakae kamatwa acheni propaganda vijana
Watakaoitwa wanaeleweka niwatu wenye mafunzo maalum ya kijeshi kueni wapole tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
anachokifanya hapo ndicho alichokifanya georgia na crimea, zikishaingizwa urusi tayari inakua ardhi ya urusi, na silaha yoyote itakayorushwa humo itakua imerushwa kwenye ardhi ya urusi, a direct provocation,Ila huyu Putin kwenye mikawala anatisha sanasana!!! Unaweza ukajifungia ndani usitoke
Ina maana direct provocation anataka ifanywe mara ngapi..,wakati Leo hii majeshi ya Ukraine yanazidi ku-advance kwenye hayo maeneo hambayo yameshapiga kura[emoji848]anachokifanya hapo ndicho alichokifanya georgia na crimea, zikishaingizwa urusi tayari inakua ardhi ya urusi, na silaha yoyote itakayorushwa humo itakua imerushwa kwenye ardhi ya urusi, a direct provocation,
kama ambavyo Ukraine wameambiwa wasiipige crimea, ndivyo itakua huko pia...... SMO inaelekea mwishoni
hayo maeneo yamepiga kura lini?Ina maana direct provocation anataka ifanywe mara ngapi..,wakati Leo hii majeshi ya Ukraine yanazidi ku-advance kwenye hayo maeneo hambayo yameshapiga kura[emoji848]
Achga kuleta mawazo Mgando hapa; hakuna eneo la asili ya watu fulani katika dunia ya leo. Kuna mipaka ya kimataifa inayojulikana halafu watu wanaweza kuhamia popote wanapotaka wao wenyewe. Kama hao watu wa asili ya Urusi hawataki kuwa kwenye himaya ya Ukraine basi wahamie urusi, siyo kulazimisha kumega mipaka ya ukraine.Yuko sahihi kabisa. Urusi inapigana kuyaleta maeneo ya asili ya warusi kwenye shirikisho la urusi.
Nchi za magharibi waache unafiki. Walipounga mkono kusambaratika shirikishi la yugoslavia kila kabila kua nchi walifikiri dunia haioni? Licha ya wayugoslavia kua mbari moja ya ki slav. Wakawatenga wa croatia na wa serbia, wakawatenga wa montenegro na wa serbia, wakaitenga cossovo na serbia etc etc yogoslavia ikasambaratika. Yote lengo likiwa kulivunja taifa lililojengwa kwa msingi wa kijamaa na taifa rafiki na urusi.
Leo hii tunaona tena marekani ikifunga kibwebwe kwa nia ya kuichoma kisu urusi. Kujaribu kuizingira kwa kuwageuza ndugu wa asili wa urusi kua maadui zake. Kwa hilo maeneo ya ukraine ya kabila la kirusi wamesema hapana na urusi iko tayari kuwasaidia kuungana na nchi yao shirikisho la urusi.
Akifeli analaumu mitaala migumuHuyo Dogo Yuko chimbo,hajui hata kipindi Gani kinaendelea kule darasani,anaandika baada ya story za chimbo🏃🏃
Maeneo yote ya vita yaliyonyakuliwa ndio bye bye kwa UkraineBaada ya hivi vita aridhi ya Ukraine itakuwa nna rutuba ya kutosha kutokana na hii mizoga anayoileta Putin [emoji848]
Bado wanajisifu wameweza kukimbia maeneo yaliyotekwa🤣Akifeli analaumu mitaala migumu
Maeneo yote ya vita yaliyonyakuliwa ndio bye bye kwa Ukraine
Kwa taarifa tu Ukraine kuna mikoa na vitongojiMikoa tunayo sisi tu huku. Mwisho wa siku usije ukasema mkoa wa California, au wilaya ya Brooklyn. Kuna drone itakutafuta.