Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

Aliyeonya atashambulia wenzake na nuclear ni Putin, ili haya majibu ya France & UK yaweze ku-qualify kuwa mkwara, ni lazima putin atekeleze alichosema kwa kuishambulia NATO na nuclear weapons.
Hakuna sehem PUT IN alisema tu atashambulia mtu na NYUKLIA kama ipo ilete hem tuione MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo shida si Ukraine kujiunga na Nato kama ilivyo kuwa inaelezwa hapo hawali. kumbe shida ni west hawataki kuhani mkuu wa makabila ya asili ya Urusi Bw Putin kurudisha makabila hayo kundi? .😂😂
 
Hapo ndio anatumia media kuwahadaa walimwengu ila chuma Putin anajua anachokifanya
 
Sawa kazoa watu wa mtaani sasa mbona anawaendesha nyie ambao ni trained expert soldiers? Hujiulizi au unajitoa ufahamu
Hapana Mkuu; Ni kazi nzito na inayohitaji roho ngumu sana kuua watu wengi hivyo waliozolewa kutoka mitaani huku ukijua kwamba hao sio wanajeshi ila ni watu waliovaa nguo za jeshi na hawajui chochote ni kama wanatolewa kafara.
 
huyu mzee akikutia upepo huchomoki hata Biden alijaa hewa ila ukweli ni kwamba amejichafulia hata kwa wanao mwamini hii ni aibu kwa taifa kubwa kama lake kushidwa mpaka sasa kumwondoa mtawala wa Ukraine na kuidhibiti kikamilifu...
 
Sasa kama hawajui chochote inakuwaje wanawaburuza NATO
 
😄😄 Kwny Vita vya Vietnam unajua Ni wamarekani wangapi walizolewa kupelekwa vietnam mpk Bondia Mohamed Ali akafungwa baada ya kugoma kuzolewa kwenda vitani?
Hilo ni la Enzi hizo. Tuzungumzie hili la sasa. Sio sahihi kuhalalisha kosa kwa kutenda kosa kama hilo lililofanywa enzi za vita ya Vietnam.
 
Hapana Mkuu; Ni kazi nzito na inayohitaji roho ngumu sana kuua watu wengi hivyo waliozolewa kutoka mitaani huku ukijua kwamba hao sio wanajeshi ila ni watu waliovaa nguo za jeshi na hawajui chochote ni kama wanatolewa kafara.
Kaamua kupunguza homeless kwa njia hiyo.. Putin Kazidiwa akili na ccm kwa utatuzi wa matatizo.
 
huyu mzee akikutia upepo huchomoki hata Biden alijaa hewa ila ukweli ni kwamba amejichafulia hata kwa wanao mwamini hii ni aibu kwa taifa kubwa kama lake kushidwa mpaka sasa kumwondoa mtawala wa Ukraine na kuidhibiti kikamilifu...
Kuutoa utawala wa Ukraine haijawahi kuwa lengo ya Operation. Mkakati ilikuwa kuyakalia maeneo ya kimkakati katika kujilinda
 
Ushauri wangu kwa hao homeless wakiingia field wawe wanaopigana huku wana angalia juu kukwepe Makombora ya Himars☺️ unless watafyekelewa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…