Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

Hapana mkuu, binafsi napenda amani.
Basi kaa hapahapa Tz huko wanagombea ulinzi ila wawe na amani kama wewe, ni kama Israel anaikalia Golan heights ni kwa ajili ya kuwa ni eneo la kimkakati la kujilinda dhidi ya mashambulizi kutoka Syria
 
Urusi anachokifanya ni kuwashawishi wale Raia waliowakuta yale maeneo ili wayapiganie kulinda ili Ukraine wasiyachukue hayo maeneo tena kumbuka baada ya kuyachakua walikua wanagawa chakula bure na kutangaza baadhi ya fursa inaonekana Urusi kaishiwa nguvu kazi ya kupigana ndio maana akipata vijana 2000 lazima atangaze hapa tulikua tunapewa matango pori kibao kuhusu Urusi leo hii wanatumia wafungwa na mateka ili wakapigane...Vita kweli sio mchezo
 
Umesema Ukraine "wasiyachukue"?? Hata wasiposhawishiwa bado Ukraine hawana uwezo wa kuyarudisha maana hawakugawiwa waliyachukua kwa nguvu na watatumia nguvu kuyalinda
 
Huyo Wallace ni mbwa koko anabwekea awasogeze wenzake wachanjwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…