Watu wengine wanakaushabiki tu ila kilichofanyika sio kipya ni kama Azam cola au mo colaImitatated cola ptoducts zipo karibu kila nchi , lakini hakuna hata sehemu moja zimewahi kulingana ladha na coca cola , the assuption ipo hivo hata huko kwa putin mana sio wa kwanza kuwa na product kama hizo . Ukienda hapo tu south , karibu food chains zote wana cola products ,spar wana cola yao, shoprites wana cola yao , woolworth wana cola yao , none of those is up to par with coke.
Sijakataa. Lakini huduma imepatikana. Na hicho ndo cha msingi.Tunatumia vya mchina sio kwa kupenda ila uchumi. Huwezi ifananisha tecno na iphone au samsung.
Najua, inasemekana formula ya coca inalindwa saana, hii kauli huwa naichukulia imekaa kibiashara mnoo,Mkuu siri za nukes zilivuja baada ya hitlers nazi scientists kuwa mateka , other wise hadi leo ingekuwa ni siri.
Halafu hizi ni biashara usichukulie poa , watu wanaweka formula siri maana ndo lifeline ya biashara yenyewe.
Huko coca cola mbali sana , KFC tu , ile recipe mixture ni top secret.
Kuku wapo viazi vipo na ngano tunayo, jaribu kupika uone kama utapata ladha ya KFC.
Super power kwa kuzalisha Azam cola na Mo cola,mbona hizi hata hapa kwetu zipoNdio maana ya Superpower, sasa nchi yetu pendwa ije iekewe vikwazo uone hilo balaaa
Kwa kuzalisha Mo Cola,Azam Cola,Double cola [emoji3][emoji3]Du mrusi kweli kashindikana
Coca cola ipo toka miaka ya 1890, utaona kuwa kwa karibu miaka 150 jamaa wamelinda siri ya biashara yao,na ku maintain the same quality, sio kitu rahisi kama watu wanavyodhani ,Najua, inasemekana formula ya coca inalindwa saana, hii kauli huwa naichukulia imekaa kibiashara mnoo,
Haiwezekani wanakemia wakae chimbo washindwe kujua vilivyomo ndani ya coca kiundani kabisa.
Hii kauli imekaa kibiashara hiyo moja, na pili watu hawahangaiki nayo sababu ya mambo ya hatimiliki, ukijichanganya ukapekenyua na kujua ile formula kisha uanze kuzalisha utajikuta unafilisiwa hadi mbegu zako za uzazi.
Bado nasema hili suala lipo kibiashara ionekane coca ni special mnoo,hii kitu inapandisha hadhi.Coca cola ipo toka miaka ya 1890, utaona kuwa kwa karibu miaka 150 jamaa wamelinda siri ya biashara yao,na ku maintain the same quality, sio kitu rahisi kama watu wanavyodhani ,
Inasemekana kuna watu wawili permanent top executives ndo huwa wanajua siri hii, na coke huwa hawa disclose thier location nor their roles hadi wanapofariki or gravely ill
Kwa hiyo hao watu wawili wanalindwa Sana ili wasitoe Siri? Mimi naona haya ni mambo ya kufikirika tuCoca cola ipo toka miaka ya 1890, utaona kuwa kwa karibu miaka 150 jamaa wamelinda siri ya biashara yao,na ku maintain the same quality, sio kitu rahisi kama watu wanavyodhani ,
Inasemekana kuna watu wawili permanent top executives ndo huwa wanajua siri hii, na coke huwa hawa disclose thier location nor their roles hadi wanapofariki or gravely ill
Z Z Z Z Z Z Z Z
View attachment 2238189
Pamoja na kuwa na wanasayansi kibao , jinsi nyuki anavyotemgeneza asali bado ni fumbo kwa mwanasayansi yoyoteBado nasema hili suala lipo kibiashara ionekane coca ni special mnoo,hii kitu inapandisha hadhi.
Tuulizane unadhani kwa jinsi teknolojia ilivyolkuwa, wanakemia ndio wakae chini,washindwe kuibuka na hii formul!? Lakini hata wakipoteza muda na pesa hawatoweza kuitumia sababu ya hatimiliki.
Ladha ni ile ile.Z Z Z Z Z Z Z Z
View attachment 2238189
nenda kawaulize tbs, tmda na sheria za nchi mbalimbali... ISO etc... usipigizane kelele la mimi...Hauko serious bro , kwamba ukichanganya maji sukari na cola nuts unapata coca cola?
Coca cola sio kama juisi ya matunda kwamba ya nanasi itafanana , hadi leo hii ladha yake inakubalika kumefanyika expensive research na coca hawawezi disclose hiyo formula .
Hapo juu jamaa kakupa jibu murua kabisa hujaelewaHauko serious bro , kwamba ukichanganya maji sukari na cola nuts unapata coca cola?
Coca cola sio kama juisi ya matunda kwamba ya nanasi itafanana , hadi leo hii ladha yake inakubalika kumefanyika expensive research na coca hawawezi disclose hiyo formula .
Hizo zinataste kama products Za cocs cola 100%.....kumbuka zinatengenezewa kwenye viwanda vya Coca-Cola vilivyotaifishwa na urusiSasa hio si kama Mo Cola au Azam Cola kuna nini cha ajabu? Karibu supermarket chains zote dunia ya kwanza wana Cola zao.
Hakuna alosema rahisi MKUU ila yanawezekanaKwamba wanaweza ku hack system ya Biktarvy inc na ukapata formula ya biktarvy arv ambazo haziumizi figo ?
Wenzetu wanafanya very expensive research na wanapopata mafanikio huwa wanazilinda kwa nguvu zote product zao . Sio rahisi kufanya ujasusi kwenye product zenye patents yoyote mana kesi zake haziwezekani.
Aisee! Katafute taarifa zaidi. Btw wapo wengine walianza mapema tu baada ya cc kusimamisha production hawa mnaowasoma leo wamechelewa. FYI hata wanywaji wanasema hazina ladha nzuri kama coca cola.Hizo zinataste kama products Za cocs cola 100%.....kumbuka zinatengenezewa kwenye viwanda vya Coca-Cola vilivyotaifishwa na urusi
We jamaa ndo hata exposure sijui kama unayo ,!! Tena huko kwenye madawa ndo kuna unyama wa copyrights hadi basi those companies are Ruth less, Arv zenye kuzipata sisi waafrica ilikuwa ishu, kama si bill gates tungeteketea kwa kasi ya ajabu ,nenda kawaulize tbs, tmda na sheria za nchi mbalimbali... ISO etc... usipigizane kelele la mimi...
nchi zina sheria zake upeleki tu bidhaa kisa una taka usiibiwe, zibiti hilo kisheria sio ufiche ili uhatarishe sheria za wananchi wake...
china russia etc wakubali upuuzi na kuhatarisha watumiaji ambao ni wananchi wao?
usalama wa watumiaji kwanza...
hizo stori zako za kale zitoe hapa
hata maji ya kilimanjaro na uhai yana tofautiana ladha na yote ni colorless...
Hao wanywaji umewaonea wapi?? CNN??BBC?? Au FoxNews??Aisee! Katafute taarifa zaidi. Btw wapo wengine walianza mapema tu baada ya cc kusimamisha production hawa mnaowasoma leo wamechelewa. FYI hata wanywaji wanasema hazina ladha nzuri kama coca cola.