RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Watu wengine wanakaushabiki tu ila kilichofanyika sio kipya ni kama Azam cola au mo colaImitatated cola ptoducts zipo karibu kila nchi , lakini hakuna hata sehemu moja zimewahi kulingana ladha na coca cola , the assuption ipo hivo hata huko kwa putin mana sio wa kwanza kuwa na product kama hizo . Ukienda hapo tu south , karibu food chains zote wana cola products ,spar wana cola yao, shoprites wana cola yao , woolworth wana cola yao , none of those is up to par with coke.