Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

Imitatated cola ptoducts zipo karibu kila nchi , lakini hakuna hata sehemu moja zimewahi kulingana ladha na coca cola , the assuption ipo hivo hata huko kwa putin mana sio wa kwanza kuwa na product kama hizo . Ukienda hapo tu south , karibu food chains zote wana cola products ,spar wana cola yao, shoprites wana cola yao , woolworth wana cola yao , none of those is up to par with coke.
Watu wengine wanakaushabiki tu ila kilichofanyika sio kipya ni kama Azam cola au mo cola
 
Mkuu siri za nukes zilivuja baada ya hitlers nazi scientists kuwa mateka , other wise hadi leo ingekuwa ni siri.
Halafu hizi ni biashara usichukulie poa , watu wanaweka formula siri maana ndo lifeline ya biashara yenyewe.
Huko coca cola mbali sana , KFC tu , ile recipe mixture ni top secret.
Kuku wapo viazi vipo na ngano tunayo, jaribu kupika uone kama utapata ladha ya KFC.
Najua, inasemekana formula ya coca inalindwa saana, hii kauli huwa naichukulia imekaa kibiashara mnoo,
Haiwezekani wanakemia wakae chimbo washindwe kujua vilivyomo ndani ya coca kiundani kabisa.

Hii kauli imekaa kibiashara hiyo moja, na pili watu hawahangaiki nayo sababu ya mambo ya hatimiliki, ukijichanganya ukapekenyua na kujua ile formula kisha uanze kuzalisha utajikuta unafilisiwa hadi mbegu zako za uzazi.
 
Coca cola ipo toka miaka ya 1890, utaona kuwa kwa karibu miaka 150 jamaa wamelinda siri ya biashara yao,na ku maintain the same quality, sio kitu rahisi kama watu wanavyodhani ,
Inasemekana kuna watu wawili permanent top executives ndo huwa wanajua siri hii, na coke huwa hawa disclose thier location nor their roles hadi wanapofariki or gravely ill
 
Bado nasema hili suala lipo kibiashara ionekane coca ni special mnoo,hii kitu inapandisha hadhi.

Tuulizane unadhani kwa jinsi teknolojia ilivyolkuwa, wanakemia ndio wakae chini,washindwe kuibuka na hii formul!? Lakini hata wakipoteza muda na pesa hawatoweza kuitumia sababu ya hatimiliki.
 
Kwa hiyo hao watu wawili wanalindwa Sana ili wasitoe Siri? Mimi naona haya ni mambo ya kufikirika tu
 
Bado nasema hili suala lipo kibiashara ionekane coca ni special mnoo,hii kitu inapandisha hadhi.

Tuulizane unadhani kwa jinsi teknolojia ilivyolkuwa, wanakemia ndio wakae chini,washindwe kuibuka na hii formul!? Lakini hata wakipoteza muda na pesa hawatoweza kuitumia sababu ya hatimiliki.
Pamoja na kuwa na wanasayansi kibao , jinsi nyuki anavyotemgeneza asali bado ni fumbo kwa mwanasayansi yoyote
Coke wana hatimiliki ya vitu vingi ila ladha hawajaiwekea hatimiliki, wanna know why? , Unapoweka hati miliki ya kitu ni lazima ukielezeee kwa unaga ubaga hicho unachotaka kukilinda ikiwemo na formula yote iliyohusika , kwa bahati mbaya hatimiliki ina sheria zake , moja ni kuwa kuna bandwidth ya muda wa kuweka hizo pattents nadhan ni miaka 20 baada ya hapo inatakiwa uache uhuru ili watu wengine wapate kuitumia kwa masharti ya kukulipa , coke wakaamua kuifanya iwe siri
Hata wewe leo kama una uwezo unaweza kutengeneza coca cola yako na hutapata kesi nao
 
Hauko serious bro , kwamba ukichanganya maji sukari na cola nuts unapata coca cola?

Coca cola sio kama juisi ya matunda kwamba ya nanasi itafanana , hadi leo hii ladha yake inakubalika kumefanyika expensive research na coca hawawezi disclose hiyo formula .
nenda kawaulize tbs, tmda na sheria za nchi mbalimbali... ISO etc... usipigizane kelele la mimi...

nchi zina sheria zake upeleki tu bidhaa kisa una taka usiibiwe, zibiti hilo kisheria sio ufiche ili uhatarishe uhai wa wananchi wake...

china russia etc wakubali upuuzi na kuhatarisha watumiaji ambao ni wananchi wao?

usalama wa watumiaji kwanza...

hizo stori zako za kale zitoe hapa

hata maji ya kilimanjaro na uhai yana tofautiana ladha na yote ni colorless...
 
Hauko serious bro , kwamba ukichanganya maji sukari na cola nuts unapata coca cola?

Coca cola sio kama juisi ya matunda kwamba ya nanasi itafanana , hadi leo hii ladha yake inakubalika kumefanyika expensive research na coca hawawezi disclose hiyo formula .
Hapo juu jamaa kakupa jibu murua kabisa hujaelewa
Wala asii disclose watu wameiba formula yakutengeneza Atomic Bomb itakua koka kola aseee
Hapa ndio utaelewa kwanini kukawa namasuala ya UJASUSI
Sijasema kama hio ndio same na kolá yenyewe ila mana yangu nikwamba huo usiri uliopo usikustue watu waliiba na wanaendelea kuiba na kuzisaka siri zamanaa zaidi nini Coca cola
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hio si kama Mo Cola au Azam Cola kuna nini cha ajabu? Karibu supermarket chains zote dunia ya kwanza wana Cola zao.
Hizo zinataste kama products Za cocs cola 100%.....kumbuka zinatengenezewa kwenye viwanda vya Coca-Cola vilivyotaifishwa na urusi
 
Kwamba wanaweza ku hack system ya Biktarvy inc na ukapata formula ya biktarvy arv ambazo haziumizi figo ?
Wenzetu wanafanya very expensive research na wanapopata mafanikio huwa wanazilinda kwa nguvu zote product zao . Sio rahisi kufanya ujasusi kwenye product zenye patents yoyote mana kesi zake haziwezekani.
Hakuna alosema rahisi MKUU ila yanawezekana
Kwahaya uendelee tu kubisha ila yanawezekana kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo zinataste kama products Za cocs cola 100%.....kumbuka zinatengenezewa kwenye viwanda vya Coca-Cola vilivyotaifishwa na urusi
Aisee! Katafute taarifa zaidi. Btw wapo wengine walianza mapema tu baada ya cc kusimamisha production hawa mnaowasoma leo wamechelewa. FYI hata wanywaji wanasema hazina ladha nzuri kama coca cola.
 
nenda kawaulize tbs, tmda na sheria za nchi mbalimbali... ISO etc... usipigizane kelele la mimi...

nchi zina sheria zake upeleki tu bidhaa kisa una taka usiibiwe, zibiti hilo kisheria sio ufiche ili uhatarishe sheria za wananchi wake...

china russia etc wakubali upuuzi na kuhatarisha watumiaji ambao ni wananchi wao?

usalama wa watumiaji kwanza...

hizo stori zako za kale zitoe hapa

hata maji ya kilimanjaro na uhai yana tofautiana ladha na yote ni colorless...
We jamaa ndo hata exposure sijui kama unayo ,!! Tena huko kwenye madawa ndo kuna unyama wa copyrights hadi basi those companies are Ruth less, Arv zenye kuzipata sisi waafrica ilikuwa ishu, kama si bill gates tungeteketea kwa kasi ya ajabu ,

Mamlaka zoote unazozijua wewe hawana ubavu wa kuzuia au kulazimisha formula za wenye nazo ziwe disclosed haipo kwanza kuna products unaambiwa kabisa wewe hazikuhusu na hazikutengenezwa kwa ajili yako .
 
Aisee! Katafute taarifa zaidi. Btw wapo wengine walianza mapema tu baada ya cc kusimamisha production hawa mnaowasoma leo wamechelewa. FYI hata wanywaji wanasema hazina ladha nzuri kama coca cola.
Hao wanywaji umewaonea wapi?? CNN??BBC?? Au FoxNews??

Wew umeinywa ukagundua haina ladha nzuri kama Coca-Cola??
 
Back
Top Bottom