Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

Atomic bombs to the best of my knowledge iltumika kwa mara ya kwanza Hiroshima na nagasaki japan, ikishushwa na ndege ya kimarekani enola gay ,
Ile ilikuwa ni kazi ya mateka wa kivita wa nazi walipokuwa america , sio sahihi kusema formula iliibwa bali siri ilitapakaa baada ya hitler kufeli
 
Hii sasa ndio fact
Sio kola tu mambo yote kinachoponza hati miliki tuu
Yaani watu wakae chini washibdwe kugundua unatengenezaje
Umemaliza kila kitu MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiongelea Atomic iliotokea US kuelekea USSR kabla hata ya Hiroshima na Nagasaki
Hata hayo yakuvuja siri MKUU siri zinavuja katika njia tofauti tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wewe teknolojia kubwa za nuklia, anga za mbali n.k znaibwa hiyo formula ya cocacola ni kitu gani?

Acha wazee wa Zzzzzz wagonge cocacola ile ile kwa jina tofauti
 
Kwamba akili imewajia sasa hivi muda wote walikuwa wapi hadi waanze sasa?kumbe Russia ni utopolo hivi!
 

Inasikitisha kuona mwanaume anasifia kuku wa KFC[emoji119][emoji119]
 
Watu kibao wanapika hizo KFC, nimekula Znz Clone zake vile vile, Restaurant moja Karibu na Lookman.

Issue ni hizo Patents, ila ku replicate watu wanaweza, hasa Vile hivyo ni viwanda vya zamani vya Coke, ina maana Ile Formula ipo.
 
Inasikitisha kuona mwanaume anasifia kuku wa KFC[emoji119][emoji119]
Kama umewahi kutembea utakubaliana nami kuwa huu ugali na kichuri au tembele huwa unaishia hapo vingunguti airport, baada ya hapo ni mwemdo wa vyakula usivyovijua au visivyo na ladha , ndo mana huwa tunajilipua na hizo junk foods amabazo standard ni moja all over the world

hapo congo tu unaweza kutana na kichwa cha nyani kwenye menu plate , halafu watu hawana habari , kuondoa karaha ndo hiyo KFC
 

Nakubaliana na wewe, sema wadau wameamua kutotumia the formulae kwa sababu ya mambo ya hatimiliki tu, lakini hakuna formulae yoyote ngumu ambayo ni cocacola pekee anaejua, sidhani kama ni kweli!
 
Hizi story mnazitoa wapi ulishawahi kutest coca cola ya kibongo na ya Alaska ukaona zina quality sawa?
 
Ndio Raha ya kuwa na Taifa lenye wataalamu,hata Hitler alipata kiburi sababu alikuwa na Kila aina ya wataalamu
Sio hawa maprofesa vyupi wa ccm
ccm = chama cha mavii
 
Ila Wazungu Ni wajinga Sana,yaani walidhani Taifa kubwa Kama Russia litatetereka kwa sababu ya Cocacola,Fanta πŸ˜„πŸ˜„, hata Tz tu leo wakifunga hivyo viwanda hakuna mwananchi atahangaika kusema eti serikali iondoke madarakani kwa Sababu ya Coca na Stone Tangawizi πŸ˜„πŸ˜„

Sanasana bidhaa zikikosekana,Kodi itapungua kiaina lkn pia serikali ita-save pesa nyingi inazozitumia kwenda kununulia madawa ya ugonjwa wa kisukari.
 
Hizi story mnazitoa wapi ulishawahi kutest coca cola ya kibongo na ya Alaska ukaona zina quality sawa?
Kwamba coca ya kibongo inaweza kufanana ladha na pespi ya alaska sio?

Hilux ya japan inatofautiana sana na hilux ya south africa lakini zote ni trade mark ya Toyota
 
Ladha haiwezi kuwa ile ile , one of the best kept secret with lots of pattent ni hiyo coca cola formula ,
Hata hapa kwetu kuna cola procucts kibao, azam cola , chemi cola , mo cola etc, lakini hazina ladha ya coca cola
Labda huko daslam. Sisi wa mkoani ladha ya pepsi na cocacola wanazidiana kidogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…