RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Naona unaanza ligi ya Russia Vs USA. Umeshinda.Hao wanywaji umewaonea wapi?? CNN??BBC?? Au FoxNews??
Wew umeinywa ukagundua haina ladha nzuri kama Coca-Cola??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unaanza ligi ya Russia Vs USA. Umeshinda.Hao wanywaji umewaonea wapi?? CNN??BBC?? Au FoxNews??
Wew umeinywa ukagundua haina ladha nzuri kama Coca-Cola??
Atomic bombs to the best of my knowledge iltumika kwa mara ya kwanza Hiroshima na nagasaki japan, ikishushwa na ndege ya kimarekani enola gay ,Hapo juu jamaa kakupa jibu murua kabisa hujaelewa
Wala asii disclose watu wameiba formula yakutengeneza Atomic Bomb itakua koka kola aseee
Hapa ndio utaelewa kwanini kukawa namasuala ya UJASUSI
Sijasema kama hio ndio same na kolá yenyewe ila mana yangu nikwamba huo usiri uliopo usikustue watu waliiba na wanaendelea kuiba na kuzisaka siri zamanaa zaidi nini Coca cola
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sasa ndio factNajua, inasemekana formula ya coca inalindwa saana, hii kauli huwa naichukulia imekaa kibiashara mnoo,
Haiwezekani wanakemia wakae chimbo washindwe kujua vilivyomo ndani ya coca kiundani kabisa.
Hii kauli imekaa kibiashara hiyo moja, na pili watu hawahangaiki nayo sababu ya mambo ya hatimiliki, ukijichanganya ukapekenyua na kujua ile formula kisha uanze kuzalisha utajikuta unafilisiwa hadi mbegu zako za uzazi.
Naiongelea Atomic iliotokea US kuelekea USSR kabla hata ya Hiroshima na NagasakiAtomic bombs to the best of my knowledge iltumika kwa mara ya kwanza Hiroshima na nagasaki japan, ikishushwa na ndege ya kimarekani enola gay ,
Ile ilikuwa ni kazi ya mateka wa kivita wa nazi walipokuwa america , sio sahihi kusema formula iliibwa bali siri ilitapakaa baada ya hitler kufeli
Acha wewe teknolojia kubwa za nuklia, anga za mbali n.k znaibwa hiyo formula ya cocacola ni kitu gani?Hauko serious bro , kwamba ukichanganya maji sukari na cola nuts unapata coca cola?
Coca cola sio kama juisi ya matunda kwamba ya nanasi itafanana , hadi leo hii ladha yake inakubalika kumefanyika expensive research na coca hawawezi disclose hiyo formula .
Mkuu siri za nukes zilivuja baada ya hitlers nazi scientists kuwa mateka , other wise hadi leo ingekuwa ni siri.
Halafu hizi ni biashara usichukulie poa , watu wanaweka formula siri maana ndo lifeline ya biashara yenyewe.
Huko coca cola mbali sana , KFC tu , ile recipe mixture ni top secret.
Kuku wapo viazi vipo na ngano tunayo, jaribu kupika uone kama utapata ladha ya KFC.
Watu kibao wanapika hizo KFC, nimekula Znz Clone zake vile vile, Restaurant moja Karibu na Lookman.Mkuu siri za nukes zilivuja baada ya hitlers nazi scientists kuwa mateka , other wise hadi leo ingekuwa ni siri.
Halafu hizi ni biashara usichukulie poa , watu wanaweka formula siri maana ndo lifeline ya biashara yenyewe.
Huko coca cola mbali sana , KFC tu , ile recipe mixture ni top secret.
Kuku wapo viazi vipo na ngano tunayo, jaribu kupika uone kama utapata ladha ya KFC.
Kama umewahi kutembea utakubaliana nami kuwa huu ugali na kichuri au tembele huwa unaishia hapo vingunguti airport, baada ya hapo ni mwemdo wa vyakula usivyovijua au visivyo na ladha , ndo mana huwa tunajilipua na hizo junk foods amabazo standard ni moja all over the worldInasikitisha kuona mwanaume anasifia kuku wa KFC[emoji119][emoji119]
Bado nasema hili suala lipo kibiashara ionekane coca ni special mnoo,hii kitu inapandisha hadhi.
Tuulizane unadhani kwa jinsi teknolojia ilivyolkuwa, wanakemia ndio wakae chini,washindwe kuibuka na hii formul!? Lakini hata wakipoteza muda na pesa hawatoweza kuitumia sababu ya hatimiliki.
Matoleo mengine yapo na hizo pia zitakuwepo kwani kuna ubaya ndugu zanguuKwa hiyo wameamua kuiga badala ya kuja na toleo lao jipya..
Hizi story mnazitoa wapi ulishawahi kutest coca cola ya kibongo na ya Alaska ukaona zina quality sawa?Coca cola ipo toka miaka ya 1890, utaona kuwa kwa karibu miaka 150 jamaa wamelinda siri ya biashara yao,na ku maintain the same quality, sio kitu rahisi kama watu wanavyodhani ,
Inasemekana kuna watu wawili permanent top executives ndo huwa wanajua siri hii, na coke huwa hawa disclose thier location nor their roles hadi wanapofariki or gravely ill
Sio hawa maprofesa vyupi wa ccmNdio Raha ya kuwa na Taifa lenye wataalamu,hata Hitler alipata kiburi sababu alikuwa na Kila aina ya wataalamu
Kwamba coca ya kibongo inaweza kufanana ladha na pespi ya alaska sio?Hizi story mnazitoa wapi ulishawahi kutest coca cola ya kibongo na ya Alaska ukaona zina quality sawa?
Labda huko daslam. Sisi wa mkoani ladha ya pepsi na cocacola wanazidiana kidogo tuLadha haiwezi kuwa ile ile , one of the best kept secret with lots of pattent ni hiyo coca cola formula ,
Hata hapa kwetu kuna cola procucts kibao, azam cola , chemi cola , mo cola etc, lakini hazina ladha ya coca cola
sio cola, ni coca.Sasa hio si kama Mo Cola au Azam Cola kuna nini cha ajabu? Karibu supermarket chains zote dunia ya kwanza wana Cola zao.
Hujui hata namaanisha nini...azam COLA, Mo COLA, azda COLA etc
Doh !