Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Tafsiri ya tweet no 2.

Kabla ya kura kupigwa, kuligubikwa na vurugu na ukandamizaji. Makosa yaliyoripotiwa wakati wa kura ya jana na kukamatwa leo kwa Viongozi wa Upinzani haikubaliki na inaharibu maendeleo ya Kidemokrasia nchini. Viongozi wa Tanzania lazima WAWAJIBISHWE.
Utumbe wote upo wazi sasa akili kichwani kwao
 
Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.

View attachment 1615653View attachment 1615654

Nonsense! Kwanini wasihangaikie uchaguzi wao ambao una kila dalili ya kuliingiza taifa lao kwenye constitutional crisis iwapo racist president wao atashindwa uchaguzi na kukataa matokeo?
 
Nonsense! Kwanini wasihangaikie uchaguzi wao ambao una kila dalili ya kuliingiza taifa lao kwenye constitutional crisis iwapo racist president wao atashindwa uchaguzi na kukataa matokeo?
Kwani wanakusumbua hao? Nchi ni shwari na Tz ilishaamua kufuta upinzani, hakuna wa kutishia.
 
Haifurahishi hata kidogo, Ismail Jussa amepasuliwa sana na yupo mahutihuti, halafu unaona baadhi ya waganga njaa wanadhihaki.

Hii haikubaliki hata kidogo, nabariki tupigwe sanctions mpaka akili ikae sawa
Tupia hata video kiongozi
 
Nonsense! Kwanini wasihangaikie uchaguzi wao ambao una kila dalili ya kuliingiza taifa lao kwenye constitutional crisis iwapo racist president wao atashindwa uchaguzi na kukataa matokeo?
-wana haki ya kuwaambia
-Mmepewa misaada ambayo moja ya masharti ni kuimarisha democracy, utawala bora na haki za binadam
-mnakwenda kinyume na msharti yao ya misaada
-Mkitaka wafukuzeni kama MNA huo ubavu
 
‘Umeshinda’ kwa 76% ila bado tu unamuhofia mtu aliyepata less than 20%!? Huu uoga wa Magufuli na Mwinyi wake haujawahi kutokea

Hata mwaka 2015 pamoja na Maalim Seif kujitangazia Ushindi, hakufanyiwa hivi!
 
-wana haki ya kuwaambia
-Mmepewa misaada ambayo moja ya masharti ni kuimarisha democracy, utawala bora na haki za binadam
-mnakwenda kinyume na msharti yao ya misaada
-Mkitaka wafukuzeni kama MNA huo ubavu

Democracy ya kukataa matokeo ya uchaguzi ni democracy gani hiyo?

Democracy ya kutaka wewe tu ndiye uwe mshindi ni dictatorship, sio democracy!
 
Back
Top Bottom