Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Viongozi wako tayari WAMEUFYATA, Maalim na wenzake wameachiwa.
Hawakutakiwa hata kukamatwa pia iweje Polisiccm iwasumbue wakati aliyelawiti na kuubaka uchaguzi CCM anapeta mitaani
 
Hakukuwa na “unnecessary disturbance”. Ilikuwa peaceful march. Kulikuwa na options na mojawapo labda wangemuweka kwa house arrest.

Matokeo yake sasa tuna attract unnecessary attentiondm kutoka nje.
Duniani kote sasa wanajua Tanzania uchaguzi umebakwa na kunajisiwa vibaya mno
 
Huku mtaani tangu mchana ni shangwe kila mtaa, chezea kutoka utumwani kwa miaka 25 sio mchezo. Magufuli kiboko yao.
Kiboko ya nani? Kuiba kura kufanya uchakachuaji ndiyo anakuwa kiboko yao?
 
Tayari wametoa report kuwa CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi wote kwani wananchi hawakuwachagua kabsa

Hata siku moja Ufipa hawawezi kuona report kama hiyo halafu wasiitangaze dunia nzima. That’s fantasy!
 
-Kama ni tajiri nyie mmeongoza nchi kwa miaka zaidi ya 50
-Mbona mmeshindwa kutumia huo utajiri ili kuondokana na misaada
-Maana yake mmeshindwa kutumia rasilimali vizuri
-Fanyeni ujinga muone kama nchi haijawa fukara
itakuwa kama Zimbabwe ya kipindi kilee cha mzee Marehemu na pia watalamba vicent vyote vya viongozi wa CCM walivyoficha Huko nje
 
-ovyo mkinyimwa misaada akili zitakaa sasa na kujua ni Ovyo au Hovyo
Na pia watachukua pesa zote za viongozi wa CCM zilizofichwa nje na kutaifisha mali zao kama walivyomfanyia Bashite ile nyumba yake alinunua USA imekwisha na maji
 
Back
Top Bottom