Immidiately ndo nini? wasipotolewa?Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
View attachment 1615653View attachment 1615654
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Immidiately ndo nini? wasipotolewa?Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
View attachment 1615653View attachment 1615654
Licha ya kuwaachia Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwapiga risasi wapinzani watafanya ICC The HagueImmediately !!!!!!!! Kudadadeki hata nusu saa haikufika wamewatoa 😂😂😂 Chezea beberu
Immediately !!!!!!!! Kudadadeki hata nusu saa haikufika wamewatoa 😂😂😂 Chezea beberu
Watanzania wapo busy kusaka maendeleo, kama kuliamsha dude liamshe mwenyewe kamanda. Wewe ndio unakerwa kwa kukosa wabunge ila watanzania wazalendo shwariii kila kona kheri.Jamii ya kimataifa inapowaunga mkono watanzania kwa udikteta unaoendelea, ni lazima sisi wananchi tuamke na kudai haki yetu kwa nguvu kuithibitishia Dunia kuwa tunakerwa na hali hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mayalla kawa rofa siku hizi.Natamani hawa viongozi wetu wa utawala huu wa "MAGU & CO LTD" wakamatwe na "Mahakama Ya Jinai Ya Kimataifa (ICC)", halafu wakafungwe magereza yenye "MABASHA NA WASENGE (HOMOSEXUAL)" tupu huko The Hague.
Wamchukue na pascal mayalla kwa uchochezi wa kiandishi nae, wampeleke huko.
Baada ya miaka 5 tu, waachiliwe warudi nchini, tuone mikono ilivyoregea na vikuku miguuni kama Bobryski.
Upuuzi mtupu, hata ukifanyika mwingine mtagalagazwa vile vile. Chama cha Mbowe kina sera gani au mnatafuna huruma kwa wananchi ambao hata kuwawakilisha tu hamuwezi.Kuna uwezekano wa uchaguzi kufanyika mda si mrefu kwani huu wa jana haukuwa uchaguzi bali ni maigizo ya CCM kuubaka kuulawiti uchaguzi
Fanyeni haraka aondoke.Kama hajui majukumu yake hapa Tanzania he should be expelled haraka.
Viongozi wako tayari WAMEUFYATA, Maalim na wenzake wameachiwa.
Hiyo ndiyo maana ya immediately.Immediately !!!!!!!! Kudadadeki hata nusu saa haikufika wamewatoa![]()
Chezea beberu![]()
Waliojaribu kuandamana Zanzibar wamepigwa na polisi hadi kufa. Polisi waliwaweka kwenye fuso hadi ufukweni, waliwafukuza wavuvi maiti ziliwekwa kwenye boat na kupelekwa deep sea.Jamii ya kimataifa inapowaunga mkono watanzania kwa udikteta unaoendelea, ni lazima sisi wananchi tuamke na kudai haki yetu kwa nguvu kuithibitishia Dunia kuwa tunakerwa na hali hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
STOPDetaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
View attachment 1615653View attachment 1615654
immediately tayari wameachiwa chezea beberu weweMabeberu watu wa ajabu Sana. Yani Wanataka hata kutufundiaha jinsi ya kuwaza, yani tuwaze na kutenda kama waonavyo wao si upuuzi huo.Wameona magu kawakazia, ile mirija yao ya kufyonza rasilimali imekatwa sasa imekuwa nogwa. Nyerere aliona mbali sana, nchi hizi za ki Africa bila kujitegemea na kuondoa tongotongo kichwani na ukoloni mamboleo hautaondoka.
Uzuri gani ambao umefanyika?Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Mirsi wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
Halafu huyo ni balozi tuu kachimba bitiImmediately !!!!!!!! Kudadadeki hata nusu saa haikufika wamewatoa 😂😂😂 Chezea beberu
Huwez kuwa maskini halafu ukawa huruMwambieni balozi atulie, Tanzania ni nchi huru, watanzania ni watu huru, hatuwezi kuendeshwa kwa namna hiyo..
Ha ha haaaa,halafu mataga wanajitusu....si ni nchi huruuuImmediately !!!!!!!! Kudadadeki hata nusu saa haikufika wamewatoa [emoji23][emoji23][emoji23] Chezea beberu
Hili ndilo linaloshangaza zaidi...Hao walioshinda hata furaha hawana.