-Kama ni tajiri nyie mmeongoza nchi kwa miaka zaidi ya 50Tanzania ni nchi tajiri Sana.
-Mbona mmeshindwa kutumia huo utajiri ili kuondokana na misaada
-Maana yake mmeshindwa kutumia rasilimali vizuri
-Fanyeni ujinga muone kama nchi haijawa fukara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-Kama ni tajiri nyie mmeongoza nchi kwa miaka zaidi ya 50Tanzania ni nchi tajiri Sana.
Kwani chama cha Mbowe kilitaka kumtoa roho Zitto alipo lobby kuhusu pesa za elimu.Wakinga bakuli wenu woote wamefubwa midomo. Chama cha Mbowe kwisha kabisa.
-Democracy ina vigezo vyake ambavyo ni free, credible and fair election, kuheshimu haki za watu kupiga kura,uwazi, kuepuka matumizi ya nguvu yasiyo na msingiDemocracy ya kukataa matokeo ya uchaguzi ni democracy gani hiyo?
Democracy ya kutaka wewe tu ndiye uwe mshindi ni dictatorship, sio democracy!
‘Umeshinda’ kwa 76% ila bado tu unamuhofia mtu aliyepata less than 20%!? Huu uoga wa Magufuli na Mwinyi wake haujawahi kutokea
Hata mwaka 2015 pamoja na Maalim Seif kujitangazia Ushindi, hakufanyiea hivi!
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Mirsi wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
-Democracy ina vigezo vyake ambavyo ni free, credible and fair election, kuheshimu haki za watu kupiga kura,uwazi, kuepuka matumizi ya nguvu yasiyo na msingi
- ndiyo maana mnasemwa na mabeberu kwa kushindwa kuzingatia hivyo vigezo.
Upepo wa vikwazo unaanza kuvumaNaona lugha yaenda ikibadilika sasa... Huyu dikteta wetu huwa hapangiwi lakini. Ngoja tuone kama kuna mtu anaweza kumpangia safari hii.
Vikwazo na ICC havipo mbaliBila action hii serikali haiwezi badilika.
-Haina haja ya kusubiri ni kusema hapo hapo muda huo huo kasoro ikitokea hakuna kupoteza mudaHuwezi kuwa mlalamikaji na hakimu wakati huo huo. Kuna team ya international observers nchini. Kwanini ambao hawajaridhika wasisubiri kauli ya international observers?
Tayari wametoa report kuwa CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi wote kwani wananchi hawakuwachagua kabsaHuwezi kuwa mlalamikaji na hakimu wakati huo huo. Kuna team ya international observers nchini. Kwanini ambao hawajaridhika wasisubiri kauli ya international observers?
Tayari report yao ipo na inaonyesha CCM imenajisi kuubaka uchaguzi-Haina haja ya kusubiri ni kusema hapo hapo muda huo huo kasoro ikitokea hakuna kupoteza muda
-International observers watatoa Ripoti yao lakini hivyo haizuii USA kukemea kwa sababu bila ya kusema haraka kina Maalim watateseka huko Polisi
-Tulieni kimya wafadhili wawakosoe hao ndiyo wanaisaidia bajeti yetu
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Mirsi wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
CCM hufanya uhuni yenyewe ingawa mwenyekiti asili yake ni Burundi na katibu mkuu Asili yake ni RwandaUhuni wa CCM na vibaraka wake hauvumiliki.
Nadhani tayari, sijui imekuaje ile immediately imefanyiwa kazi.Afadhali U.S watoe matamko kuwafariji makamanda.
Maalim na wajinga wenzie wataachiwa tu ila acha kwanza watiwe adabu.
Huyu mpuuzi. Huku kwao yanawashindaDetaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
View attachment 1615653View attachment 1615654
Zanzibar itakula vikwazo na pia Hussein mwinyi anapelekwa ICC The HagueHofu imetamalaki. Nimeangalia taarifa ya Habari Azam TV yaani reporter wao kutoka Zanzibar anaongea kwa hofu na kajifanya hajui alipo Maalim Seif na haelewi kwanini hajahudhuria wakati Rais mteule akipewa cheti!
Yaani hata waliokuwa studio wameshindwa kuchomekea kuhusu taarifa za kukamatwa kwa Maalim Seif!
Kwani wakiwapa misaada ya pesa huwa Hakuna masikini kwao? Acha kuja na mifano ya kijinga jingaHuyu mpuuzi. Huku kwao yanawashinda
Hakukuwa na “unnecessary disturbance”. Ilikuwa peaceful march. Kulikuwa na options na mojawapo labda wangemuweka kwa house arrest.Law and order. Hakuna sababu ya minority kuachwa wakafanya unnecessary disturbance kwa majority!