Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Mzee baba acha kulalamika na kulia lia njoo upange huku buza kwa mpalange hayo mambo ya Dola hamna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lzm uishi maeneo hayo ?Issue hii kama haikugusi huwezi ona shida ambayo Serikali imeacha bila kushughulikia,ilipaswa wasimamie Kwa kupiga marufuku mikataba ya dolla nchini. Shida wao ndio wamiliki wa majengo yenye mikataba ya Dollar
Duh balaaaLeo kununua 2720
Very trueHapo sioni kama kuna namna nyingine yeyote ile zaidi ya kumbembeleza landlord wako akuonee huruma.
Hata huyo kuweka rent in US dollar ni kwa vile anajua hii shilingi yetu, kutokana na mifumo yetu mibaya ya uchumi, haitabiriki, na anaweza siku moja akaishia kulipwa pesa isiyoweza hata kutengeneza choo kikiharibika.
Watanzania tutaendelea na haya matatiźo mpaka siku tutakapowapata watu wenye uwezo wa kusimamia vizuri uchumi wa nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdau analalamikia fluctuations ya bei ya dollar, sio malipo kwa dollarSerikali ilishapiga marufuku, ndio maana nasema, kama wewe umelazimishwa mktataba wa dola, mripoti anomimously landlord wako.
Mie ninachoelewa ni kwamba landlord anaweza kusema rent ni dola say 500, ila kila unapolipa rent unaweza kulipa hiyo $500 kwa equivalent ya Tshs. Sio akulazimishe ulipe in dollars. Mwambie kama anapenda dola akazinunue mwenyewe wewe utampa equivalent amount in Tshs. Ila sasa, rent yako in Tshs itakuwa inabadilika kila mwezi, kutegemea exchange rate.
Akikuletea figusu, mripoti na tafuta nyumba nyingine
Iweke kiusahihi zaidi: … mpaka siku wananchi watakapokuwa na uelewa na nguvu kamili ya kuiwajibisha serikali kidemokrasia.Hapo sioni kama kuna namna nyingine yeyote ile zaidi ya kumbembeleza landlord wako akuonee huruma.
Hata huyo kuweka rent in US dollar ni kwa vile anajua hii shilingi yetu, kutokana na mifumo yetu mibaya ya uchumi, haitabiriki, na anaweza siku moja akaishia kulipwa pesa isiyoweza hata kutengeneza choo kikiharibika.
Watanzania tutaendelea na haya matatiźo mpaka siku tutakapowapata watu wenye uwezo wa kusimamia vizuri uchumi wa nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app