UnajiongeleshaCorrection.
Ni Mohammed Hussain ndio kapokea yellow card
wapo ila ni wachache sana...hata mimi nimejiuliza hilo mkuuSuper sport 2 naangalia live hapa. Mbona uwanja hamna watazamaji? Au Kuna lock down?
Anajiuza hapoHuyu adebayor yupo vzr.
Zbc2Azam wanaonyesha chanel gani?
Nikajua ni sisi tu hukumbona DSTV siwaelewi
Hussein sio njia shida yake ameshindwa kujua kwamba hana uwezo wa kufukuzana na Adebayor, anatakiwa asipande sana juu.
zbc2 utapata kwenye king'amuzi cha azamAzam wanaonyesha chanel gani?
Cheki kupitia ZBCmbona DSTV siwaelewi
Msako umeanzia kwa Hussein.Goli la pili
Goli limerahisishwa na Kanoute