Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mkiendelea Na Hali Hii Mliyonayo Ya Kujivuta Mnapoteza Vizuri Tu.Ila mechi hii hatufungwi
Absolutely!Simba kipindi cha pili wasipokuja na plani ya kueleweka, hili gemu linaisha tumefungwa tena kuna uwezekano magoli mengi yakaongezwa
HTKwani utopolo wanasemaje? wao wako mashindano gani? ok, Azam Federation Cup hongereni.
Itakuwa ujinga kama kipindi cha pili wakarudi na plan ile ile waliyoanza nayoMkiendelea Na Hali Hii Mliyonayo Ya Kujivuta Mnapoteza Vizuri Tu.
Staiker Wenu Ni Butu Ili Mshinde Mnatakiwa M-create Nafasi Nyingi Ili Mpate Magoli.
Mkitengeneza Chance Chache Unafahamu Vizuri Status Ya Striker Wako Ilivyo Kwa Sasa.
Ukisikia maskini kumfundisha Tajiri jinsi ya kutengeneza faida katika biashara ndiyo Utopolo sasaWapiga domo wamsimbazi
Huyo mwehu wa niniMorison anahitajika,
Kama plan ni mipira mirefu bocco aingie, lakini hata wakiweka mpira chini bado hii team inapitika tu ma sio ngumu
Itakuwa ujinga kama kipindi cha pili wakarudi na plan ile ile waliyoanza nayo
Kocha hawezi kuwa mzembe kiwango hicho
Sema wametupa kibarua cha kuwapiga goli 2
iko wapi hio droo? anakufa mtu hapaWapate hata droo tu
Hawapokei mipira na kuisambaza
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeandika kwa chuki sana