Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Wizara ya mambo ya ndani ya Marekani imeiamrisha taasisi ya mafao ya nchi hiyo kuorodhesha majina karibu 6000 ya wahamiaji kama wafu ili wasiweze kumudu maisha nchini humo na hatimae kujiondokea kwa hiyari zao.
Kwa kufanya hivyo wizara hiyo imesema popote watakapokuwa wahamiaji hao hawataweza kupata mafao wala kutumia kadi zao za benki kumudu kuendelea kubaki nchini humo na hivyo watalazimika kuhama kwa hiyari zao.