zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,946
- 6,664
Uzalendo ubaguzi ..we akili zako zikoje?Trump ana uzalendo wa hali ya juu sana kwa taifa lake, natamani sana na sisi tungepata kiongozi walau mwenye nusu ya uzalendo wa Trump na hasa nyakati hizi ambapo taifa letu linachezewa na maadui wa kila aina.
Huoni sera zake nyingi zinaleta mazara mpk nyingine anaona azirekebishe
Sio Kila anachofanya ukazan ni akil mingi yule ni mwehu kama viongozi wa Africa walivo wehu