US imeamua kuwaua kiaina wahamiaji inaowatafuta ili kuharakisha malimbukeni waondoke nchini humo.

US imeamua kuwaua kiaina wahamiaji inaowatafuta ili kuharakisha malimbukeni waondoke nchini humo.

1000268413.jpg
 
Wizara ya mambo ya ndani ya Marekani imeiamrisha taasisi ya mafao ya nchi hiyo kuorodhesha majina karibu 6000 ya wahamiaji kama wafu ili wasiweze kumudu maisha nchini humo na hatimae kujiondokea kwa hiyari zao.

Kwa kufanya hivyo wizara hiyo imesema popote watakapokuwa wahamiaji hao hawataweza kupata mafao wala kutumia kadi zao za benki kumudu kuendelea kubaki nchini humo na hivyo watalazimika kuhama kwa hiyari zao.

Trump administration lists thousands of immigrants as dead in new policy​

Wataclick kitufe tu
 
Mbuzi,kuku na ngombe wamejaa usile chakula kilichoharamishwa.
Hakuna aliyeharamisha chakula ni uongo tu wajinga mnadanganywa kama mnavyodanganywa kwamba msipobadili majina na kuchukua ya kigeni basi hamtauona ufalme wa mbingu.

Kuna vitu ili uvikubali ni lazima uwe mjinga haijalishi una elimu au la.
 
Trump ana uzalendo wa hali ya juu sana kwa taifa lake, natamani sana na sisi tungepata kiongozi walau mwenye nusu ya uzalendo wa Trump na hasa nyakati hizi ambapo taifa letu linachezewa na maadui wa kila aina.
Mzalendo si yupo Mchengelwa....mpeni urais akimaliza mda wake mama mkwe wake
 
Uzalendo wa aina hiyo haukubaliki na katika dunia ya sasa hauwezekani.
Trump hatimae atashindwa tu na ataanza kupayuka payuka.
Eti atashindwa!!! Wewe marehemu Sheikh Yahya alikuachia mikoba yake?
 
Uzalendo wa aina hiyo haukubaliki na katika dunia ya sasa hauwezekani.
Trump hatimae atashindwa tu na ataanza kupayuka payuka.
Wewe unataka uzalendo gani unaoendana na dunia yako ya sasa?? Kwamba wafungue mipaka kisha wahamiaji haramu wajazane tu nchini kwao kiasi ambacho mpaka social security inakjwa congested au??

Kuruhusu kila mgeni afanye chochote anachojiskia ikiwemo kufanya uhalifu kama kuuza cocaine ambapo waathirika wengi ni wazawa kama ilivyokuwa kipindi cha Biden au?

Trump hawezi kushindwa kama unavyofikiri maana anachofanya ndicho wamarekani wengi hasa wale nationalists ambao ndio walimchagua wanataka afanye....

Hao unaowaona wakiandamana ni maliberals ambao wameachishwa kazi kwa kile kinachofanywa na DOGE hivyo wana hasira ndio maana wana vamia mpaka Tesla workshops na kuleta uharibifu.
 
Back
Top Bottom