US kuichukua Greenland ina maana sasa hivi US ana jilinda katika kila angle ya dunia inayomzunguka

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870


Akiwa alasska ana tazama west europe.

Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia.

Akiwa green land anatazama east europe.
 
hata south amerika yote imeenda Christian concervative, imebakia cuba tu ndiyo bado communist, brazil communist lula anapumulia mashine huku Christian conservative Bolsonaro anaongoza kura za maoni, this time tanzaziga tusifanye makosa tena tuende na Christian conservative USA na siyo communists tumekuwa huko na ndiko kumetufikisha hapa leo ...
 
Hizo mbinu zilifaa nyakati za ground invasion, siyo siku hizo ambapo missiles zinakujia kupitia outer space.
 
Hizo mbinu zilifaa nyakati za ground invasion, siyo siku hizo ambapo missiles zinakujia kupitia outer space.
Sasa hili kukifikia hapo vizuri ukiwa unakula ugali dagaa inahitaji awe karibu yako zaidi ndio maana anakula ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…