Kenya 2022 US secretary of State Anthony Blinken aitakia Kenya uchaguzi wenye amani

Kenya 2022 US secretary of State Anthony Blinken aitakia Kenya uchaguzi wenye amani

Kenya 2022 General Election

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Huyu jamaa kumbe anajua Kenya ni nchi muhimu ukanda huu. Aitakia Kenya uchaguzi mwema.

 
kuweni makini TU...... Maana Ruto Na Kitendawili hawapendi kushindwa.
 
Dear Kenyans, just know! If the borders are not open, they could be porous.
Cast ur vote and take rest in Tanzania.
Dont give chances to ur security.
Get ur tourist viza and spend a week or so in a peaceful neighbourhood
 
Naona kuna baadhi ya hawa majirani, wachawi. Ambao bado hawajachoka kungoja wakenya watwangane eti ili damu imwagike. Uchaguzi wa 2013 ulipita salama, wakingoja tu kwa hamu. Mwaka wa 2017 hivyo hivyo na sasa tupo 2022 na bado wanangoja tu, miaka kumi na bado wapo tu wakifanya dua zao nyeusi za kishirikina.

Tulieni majirani, hamna 'moral authority' yeyote ya kuzungumza na wakenya kuhusu uchaguzi au demokrasia. Sio baada ya ule usanii ambao mlifanya kwenye uchaguzi wenu mkuu uliopita. Pambaneni na hali yenu na matunda ya vibwenga vyenu hivyo. Ambayo najua mnayoana vizuri kwenye hilo bunge lenu la ajabu ajabu la sisiemu, ambalo halina mbele wala nyuma.
 
Dear Kenyans, just know! If the borders are not open, they could be porous.
Cast ur vote and take rest in Tanzania.
Dont give chances to ur security.
Get ur tourist viza and spend a week or so in a peaceful neighbourhood
Kenyans don't need a visa to come to Tanzania.
 
Back
Top Bottom